Okey,i hope mmepata hayo maelezo vyema!
In case kuna mtu anahitaji
maelezo haya kwa kiswahili nina hard copy ambayo
akiweza atatoa copy,kama page 6 tu hivi,...
nipo dar,udsm
Kuna mtu aliniomba ni translate ila duh,hayo madude ni mengi sana!
For the time being,hizi hard copy zita saidia sana!
Kwa wale walio mwanza,..
wanaweza zipata kwa docta Paul Nelson,..
yupo ndani ya uwanja wa nyamagana,...anakuaga kwenye
kipindi cha usiku wa mahaba RFA,anauza 4000/-
Ukiniona mimi hapa dar,andaa hela yako tu ya kutolea copy then unirudishie original
copy yangu!
Nice time wakuu