na hizi foleni hizi
mda wa mazoezi nao....
inabidi viwanja vya mazoezi viwekwe taa
mazoezi hata usiku...
Dah! hayo madongo kweli kweli ... i wish wangeona labda wangerekebika...
Wa namna hio anaharibu kabisa akiweka na hereni...
alafu wengine hukosea na hutoga upande wa kuashiria ni shoga hata kama sio...
Asali wa moyo, naomba nikuruhusu ukamrekebishie huyo dogo anaejiingiza kwenye mambo ya wakubwa, usiogope nimekuruhusu.
Watu wanaiga mambo bila kuelewa hata mimi nimewaona wengi, na thank god wako Bongo kama wako nchi za watu ndio imetoka hiyoo, jamii wanamchukulia ni bwabwa tu.Dah! hayo madongo kweli kweli ... i wish wangeona labda wangerekebika...
Wa namna hio anaharibu kabisa akiweka na hereni...
alafu wengine hukosea na hutoga upande wa kuashiria ni shoga hata kama sio...
AD, upande huo ni upi nisaidie jamani, hua naona wanatoboa tu but sijui upi ni upi. Wengine wanatoboa yote.
Watu wanaiga mambo bila kuelewa hata mimi nimewaona wengi, na thank god wako Bongo kama wako nchi za watu ndio imetoka hiyoo, jamii wanamchukulia ni bwabwa tu.
Ni upande wa kulia, ni heri atoge tu yoote...
heri asitoge yote..
mimi bora nionekane old fashioned
kuliko kituko
njia pekee ya kumfundisha
ni anikabidhi mkewe for one day
kwa kuwa umeniruhusu haya
At the end of the day you want a true man pick an old fashioned man... they are the best!
wengi huonabora kuwa wa kisasa
hata kama kituko
An old fashined man is not about the way you look... it is more of his attitude!
atamjibu kweli akimuuliza? jibu lake ni NIPE taraka....
exactly........
its about the principles and rules....
but also the image you presents.......
Hizo Principles na rules makes the man for ina guide how to represent
himself kwa jamii, friends na his woman... Unajua The Boss kuna wale
guys who are real men that even other men want to be like him!
nafahamu tupo lol
Hizo Principles na rules makes the man for ina guide how to represent
himself kwa jamii, friends na his woman... Unajua The Boss kuna wale
guys who are real men that even other men want to be like him!
Hakuna ubaya kujaribu...(labda aseme keshajaribu kumuuliza lakini jitihada zimegonga mwamba)
that type is called alpha male....