The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,674
hahahaha.. was wondering when the bragging itachukua mkondo...
haa ha haaa u seee muhammad ally first called himself the greatest
and the later the whole world follows....
hahahaha.. was wondering when the bragging itachukua mkondo...
haa ha haaa u seee muhammad ally first called himself the greatest
and the later the whole world follows....
On a very serious note... INASIKITISHA...
Tatizo mambo mengi sasa imekua too much usasa..
where are days when the guys lazima aende mazoezini
au mpirani kucheza kidogo, where are the days when a
guy was so into making sure he shows he is man enough
in front of his lady... seriously with the pace maisha yanaenda
ambapo mazoezi vijana wanafanya ni kuenda clubbing tena
wanahakikisha wanaenda kutembea huku wamekaa... I feel
pity for my son....
Watu wametinga kwenye magari yao masaa mengi kutokana na foleni, wakitoka hapo kiti moto na moja baridi moja moto wakirudi nyumbani TV kwa masaa machache kabla ya kupanda kitandani. Mwili unalemaa! sasa sijaweka wale wanaovuta sigara labda packets kadhaa kwa siku ambazo nazo zinaharibu kwa kiasi kikubwa nguvu za nanihii, na lishe pia siyo ile ambayo inaitwa "balanced diet" usisahau na mchicha wa kichina inasemekana nao unaleta athari...Mhhhh! kazi kweli kweli!
BAK kwa hayo maneno inaonesha kua wadogo zenu wako doomed...
I feel for them na future generation kwa ujumla..
zamani ilikuwa kawaida kwa mwanaume kuwa na wanawake wengi..
siku hizi mwanamke mmoja tu hoi.......
Nifanyeje nimfikishe kileleni mpenzi wangu????
Mmoja tu V inavutwa kichini chini.... wakiwa wengi anahisi kufa!
kwa kweli miaka inavyokwenda
definition ya mwanaume itakuwa tofauti..
inaonekana uanaume unapungua kwa wanaume wengi....
eehh mungu tulinde...........
hey you guys hamko serious na wengne am sure ur not even expert of love affair and sex: m2 kaomba ushaur badala ya kumjb mnaishia kumsodoa kama hamna cha kusema just shut up! Sio oh hana nguv do you thnk kumfksha mwenza kilelen n mata ya ngv 2, mapenz n maandalz na utayar wa mwil na n saikolojia ambayo sio kila m2 anaijua so pleas mwagen sum hapa mwenyen apate elim
Ni upande wa kulia, ni heri atoge tu yoote...
hivi ukinyanga'nywa mke kwa sababu hiyo
aibu yake ipo vipi????
sipati picha...
Mmoja tu V inavutwa kichini chini.... wakiwa wengi anahisi kufa!
On a very serious note... INASIKITISHA...
Tatizo mambo mengi sasa imekua too much usasa..
where are days when the guys lazima aende mazoezini
au mpirani kucheza kidogo, where are the days when a
guy was so into making sure he shows he is man enough
in front of his lady... seriously with the pace maisha yanaenda
ambapo mazoezi vijana wanafanya ni kuenda clubbing tena
wanahakikisha wanaenda kutembea huku wamekaa... I feel
pity for my son....
not with us alpha males...
ongeza na rafiki yako pia lol
Mhhhhh! Asha hebu fafanua hapa maana sijakupata kabisa hahahaha lol!
Ni uvivu tu wa kutype BAK, si unajua guys wengine anapotaka kumake
an impression, anakuandaa mdada, thenajifanya kuenda washroom
kumbe huko anakunywa Viagra, aje full nondo...
It is either men are being robbed of their essential masculinity or homosexuality is becoming more accepted and the lines are getting more and more blurred.
Mbasajohn relax!!! punguza hasira... vuta pumzi... soma signature yangu...
Naamini sasa umetulia kama umezingatia nilivyo kupoza.. The way kijana karusha
hio thread inaonesha kua he is young na kwakua hizi ID hazioneshi umri walau
thread ilo postiwa inaashiria... Kutaka kumfikisha mwanamke kileleni... bado
si wakiti wake maana kumfikisha mwanamke kileleni inahitaji mwanaume
anae jua tayari wajibu wake sio ajifunzie kwako, inakua kama anakuchafua...
Nisamehe kama nitakua nimekukwaza... akitaka amfikishe binti kileleni yahitaji
afundishe kwa vitendo but hapa tutamchakachua bure kama huu uzi..
Pia ni muhimu kuzingatia walo changia watu katika hii post maana ni
moja wapo ya strategies kuhakikisha you are an ALPHA male wa kuweza fikisha
manamke kileleni...