Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...


Mkuu nafikiri wadau wanaingalia issue kwa upana zaidi ya wewe unavyofikiri. Kama atakuwa amezipitia posts anapick vuti vitakavyomsaidia sio kumfikisha mpenziwe kileleni but kuwa mwanaume kamili
 
Ni uvivu tu wa kutype BAK, si unajua guys wengine anapotaka kumake
an impression, anakuandaa mdada, thenajifanya kuenda washroom
kumbe huko anakunywa Viagra, aje full nondo...
Ooohhh basi kwaheriiii.
 
na hizi foleni hizi
mda wa mazoezi nao....

inabidi viwanja vya mazoezi viwekwe taa
mazoezi hata usiku...

Mkuu tatizo tunapenda sana kukaa ndani ya magari. Kama foleni ni issue, baiskeli si zipo? Watasema jua na joto.
 


Umeongea kwa hisia sana AD!

But, u said it all.... u sasa na uchakachuaji wa maisha.

Kazi sana kwa sasa... muvi, Ps, + mamisosi ya kizungu yaliyojaa mifuta...

Mtoto wa kiume akipiga **** mbili tu hoi, analia yeye tu... tayari......

Hii ni mbaya sana
 


jG niliongea kwa hisia kali coz ni suala ambalo huniuma saana na kulifikiria...
I agree with the rest ya hayo yoote umeongea...
 

...kaka, sababu zinatofautiana. Hivi, kutengana (separation) ni sawa na kutekelezana?

Kama ni sahihi, then kuna sababu za msingi ikiwemo irreconciable differences.
Hata kama kuna 'mapenzi,' (obvious yatabakia, ndio maana mlipendana awali,) inabidi kuachana kwa faida yenu wawili.

Iwapo mume/mke atakosa furaha maisha yake yote baada ya kuachana na mwenza wake, kwa sababu za msingi,
ina maana hajui anachokitaka maishani (hana msimamo thabiti)
Ama nimekosea?
 


jouneGwalu, labda utuambie hapa kuwa bao ngapi ndo zinazohitajika,
ili uonekane kuwa wewe ni kidume haswaaaa........................??????
 
jouneGwalu, labda utuambie hapa kuwa bao ngapi ndo zinazohitajika,
ili uonekane kuwa wewe ni kidume haswaaaa........................??????



km 8 ivi😛ound:!!!!!
 
ni pm nikutumie full data hapa umeingia ukweni na chupi hakuna lamaana utakalopewa na hawa vilaza!!
 
jamani wanaume wengi hamuwarithishie wapenzi wenu nyinyi mkirithika tu basi hamjali kama mwenzako naye amerithika.
 
Code:
jG niliongea kwa hisia kali coz ni suala ambalo huniuma saana na kulifikiria...
I agree with the rest ya hayo yoote umeongea...

Do you au ni njia nyepesi ya kuzima mjadala?
 
Code:
Nifanyeje nimfikishe kileleni mpenzi wangu????

Hivi ni nani kwa kuambia ni jukumu lako kumfikisha kileleni? Kwani na yeye huwa anakufisha kileleni au hujifikisha wewe mwenyewe.............au amekulalamikia kuwa umeshindwa wajibu huo na nina alikupangia hayo majukumu?

Nijibu ili niweze kutoa ushauri nasaha.......................
 
Issue nzima ya orgasm ni ver complex nionanyo mm, if mwenzio hana chemistry na wewe especilally wa kike take it from me hata uwe unachakarika kiasi gani hawezi fikia, others wanasema it has to do with the size ya ....c maana kuna wengine uuuhff haiwezekani, kuna wengine wanasema how tactic a man is, or a lady.. the first thing is just chemistry yaani hata kama utalala tu hapo if anakufeel she will climax the hata kama kiko off! na unaweza ukawa uko poa mkaka yaani ni on tuuu na akashindwa kufika akaishia maumivu tu na fake screams! ndo maana wenye elimu zao walisema brain is the first thing that must be stimulated na mengine ni nyongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…