kweli ajibiwe mkuuanatakiwa ajibiwe,kuweka thread inamana anataka kujua,mambo ya kebehi yanaharibu utamu wa jamvi,kama kwako ni jambo la kitoto kwake laweza kua ni kubwa.
Weye mpaka saa hizi bado una nyege tu.....teh teh teh!!!
hongera kwa hiyo hapo kwatuuuah ah .... leo alikuwepo wa kunifanya.... teh teh teh!!!
sio bao nyingi humfikisha mtu kileleni hapana. Waweza hata usipige bao ukamfikisha mtu kileleni kwa kutumia vidole vyako viwili kisha ukaviinginza kuelekea juu ukaanza kupikicha taratibu ukigusa g-spot hapo mimaji itamwagika sana ujue umemfikisha au hata ukiwa unapangusa pangusa mboo yako juu ya ku.m.a ya mwanamke ujue hapo mpaka demu akajoe atamwaga maji sana ujue umemfikisha sasa bao nyingi hazina haja waweza piga moja la nguvu mpaka akaridhika mwenzi wako. Kiutaalam huruhusiwi kupiga bao nyingi unajipunguzia masiha ya kuishi. Asanteni
Wewe umetoa ushauri mzuri na pengine ni dawa pia lakini kunamapungufu katika maelezo yako. Kwanza haya matatizo yanaendana na matatizo ya kiisaikolojia ili kwanza ndilo linatakiwa kutatatuliwa, pili kuhusu dawa zako inavyoonekana hapa wewe umempa kama ni immediate solution kuwa akipata kitunguu saumu na asali au konyagi aende kumaliza kazi, lakini jamaa kashindwa kwa sababu kisaikolojia haiko sawa...nadhani ushauri aangalie nini kinapelekea yeye kufika mapema inamaana akilini mwake kuna nini inapotokea tu mama kavua nguo, kufanya mazoezi ya kurelax na kama kunauwezekana kuongea na mpenzi wake hili na washilikiane kulitatua kwa mawasiliano ya kimahaba wawapo kazini tena ikiwezekana jamaa asipewe wawe wanacheza tu mwezi mzima, hadi akili itulie ijuwe kuwa kumbe mama akiwa naked ni sawa tu, n,k. Pili mazoezi ya yoga mazuri na mazoezi ya PC mascules kuupata huu mshipa ni rahisi tu wakati wa kukojoa ajaribu kusimamisha mkoja huo mshipa ndo unahitwa PC mascule...akiweza kufanya mazoezi ya kuukontrol huu mshipa kuanza kwa kuuvuta kama alivyoweza simamisha mkoja kwa sekunde 3 na kuachia kwa sekunde 3 mara 6, na kuendelea hivyo hivyo kadri siku zinavyokwenda kwa sekunde 5, hadi 10 kuvuta na kuachia kwa muda wa miezi 2 au 3, ataona mabadiriko makubwa...hata hiyo asali na kitunguu swaumu inabidi ajaribu si kula si chini ya wiki mbili...katika kipindi hiki aachane na mambo ya kufanya mapenzi. Ulizomfundisha ni dawa and not Jesus miracles zinahitaji muda...
Shukrni sana mkuu. Naomba nielekeze jinsi ya kuupata huo mshipa PC muscle nimejaribu kugoogle lkn maelezo wanayotoa hayanisaidia kujua huo mshipa na namna ya kuyafanya. Usituchoke mkuu
Habari zenu wana JF.mkuu google kegel exercises utapata majibu namna ya kupigisha zoezi mashine na matokeo ni kuprolong ili mambo.all the best.
Utanirudishia ada ya niliyokuwa nalipa wakati nipo shuleHabari zenu wana JF.
Hapo nilipo bold, nime google lkn kidhungu kimenipiga chenga. Nimeelewa lkn si kwa ukamilifu.
Kama kuna uwezekano, mwana JF mmoja atujuze kwa kiswahili japo kwa ufupi jinsi ya kufanya KEGEL EXERCISES.
Natanguliza shukurani.
shusha mambo wewe ! Malipo utapata Mbinguni.Utanirudishia ada ya niliyokuwa nalipa wakati nipo shule