Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Kegel Exercises for the PC Muscles
Print this article

Kegel exercises strengthen and tone the pubococcygeus muscle (commonly referred to as the "PC muscle"), the pelvic muscle that extends from the pubic bone to the tail bone. The PC muscle helps the organs around a person's pelvic area, including the uterus, bladder and bowel. The muscles manage the flow of urine and tightens during orgasm. Strengthening the muscles can reduce your risk of incontinence, produce a more relaxing childbirth experience and intensify your orgasms.
Find Your PC Muscle

Locate your PC muscle along your pelvis. This is the same muscle that you contract to interrupt the flow of urine. When you're in the bathroom, try to stop urinating mid-flow; if you're able to do that, then you will have accomplished the basic technique of kegel exercises. Only do this to locate your PC muscle. If you begin and stop your urine flow often, you could weaken your PC muscle and it might lead to a urinary tract infection. Women, who are having trouble locating their PC muscle, can place a finger in their vagina and try to squeeze the muscles around the finger. Your pelvic area should tighten. The pelvic muscle that contracts upwards while you're doing this is the muscle that you concentrate on moving during your kegel exercises.
Basic Exercise

Always make sure your bladder is empty before practicing kegel exercises. When you're ready to begin your exercises, find a comfortable place to sit or lie down. Contract your PC muscle and hold it for three seconds before relaxing for three seconds. Repeat this 10 times. Try to do three sets of 10 repetitions every day until you feel comfortable with the exercise. Concentrate on isolating the PC muscle when you're flexing, rather than also contracting your buttocks and stomach muscles. Check that you are still breathing regularly while performing the exercise; you should be as relaxed as possible.
Increase Frequency

After you feel comfortable performing one set of 10 three-second repetitions, increase your contractions to four-second holds, followed by a four-second rest. Evaluate your comfort level every day you practice kegel exercises and slowly increase your exercises until you have reached three sets of 10 10-second repetitions, with 10 seconds to relax your muscles in between each contraction. Make a habit of fitting your kegel exercises into your routine. That way they won't seem like a hassle. Practice tightening your PC muscle while you're waiting in line at the grocery store, checking your email or watching television. Most people notice that their PC muscle has strengthened within six to 12 weeks of regular kegel exercises.
Variations

After you feel secure in your kegel exercise technique, change up your exercise routine. Try counting aloud to 10 or 20. Every time you say a number, tighten and relax your PC muscle. Try to do the exercises in slow motion. Imagine that your PC muscle is a cable wire slowly pulling up an elevator. Picture the elevator moving from the ground flour to the fourth floor. Your PC muscle should be at its tightest by the time you reach the fourth floor. Hold your contraction and then allow the elevator to slowly release to the ground level, gradually releasing your muscles. Repeat the exercise 10 times.
 
Premature ejaculation inasababishwa na premature sexual activities. Ndio maana mnaambiwa msifanye ngono kabla ya kuoa / kuolewa. Mnaona sasa!
 
Nape Nnauye asema gus ya Tanganyika inafadisha Z'bar kwa umeme wa tenesco ambayo Z'bar ina deni la mamilion.

25/07/2011

NAPE-PPS-KIJANI-225x300.jpg

Nape asema wasotaka Muungano ni viongozi sio Wtanzania wakawaida.

Katika Meza ya Duwara ya redio Germani mdahalo wa Ismail Jussa, wahadhiri 2 wa chuuo kikuu na Nape Nnauye katibu wa itikadi na uuenezi wa habari wa CCM,anasema sikweli kuwa zanzibar hawafaidiki na mineral za Tanganyika.

Hii imekuja baada ya Mh Ismail Jusa kulizwa suala la mafuta kutolewa ktk Muungano, Mh Jussa alisema suala hili limeingizwa kinyemela na nihaki kutolewa na kuwa sio la Muungano kama vile mineral za Tanganyika, Mh Jussa alisema kama mafuta na Gus asilia nisuala la Muungano mpona wenzetu nimwaka mingi hivi sasa wanavuna gus bila Zanzibar kufaidika?.

Nepe anakaa taa kuwa Zanzibar haifaidiki na gus anasema umeme utumikao Zanzibar kutokea Tenesco una tumia gus na Zanzibar inafaidika na umeme huo na ina madeni ya mamilion inayo daiwa.

Katika suala la Muungano Nepe anasema wasio taka Muungano ni viongozi wasiasa lakini Wzanzibar wenye asili Mkulanga na Wapemba wenye Maduka Kariakoo wanataka Muungano.

Kwa hio vipi Wzanzibar tusulubiwe na Jindamizi la Muungano fake eti tu kuna waPemba watano wenye Maduka Kariakoo na kusumbuliwa kwa umeme wa mgao wa Tenesco.

Mimi nasema nilazima tuebukane wakati mwengine na vitu vyenye kutuletea zarau na usumbufu wa kusumbuliwa.

Kwanza wenzetu wamezowea kutusimanga, ukitaja maswala ya Muungano na kasoro zake utambiwa wale Wapemba wenye maduka vipi kule Tanganyika, au utaskia Zanzibar tunawadai mamillion ya umeme wa Tanesco.

Sasa hii ni kufanya viticho na usumbuliaji kwa kuwa tu ili tufumbe midomo ili tuendelee kukubali Muungano hata kama umepoteza uhalali wake na kuhitaji marekebisho.

Hili wenzetu hawalitaki kwa kuwa mfumo huu wa Muungano wa sasa unawanufaisha zaidi wao na kuzidi kuizofisha Zanzibar.

Hivi sasa Mzanzibar au kiongozi wa Zanzibar akizungumzia kero za Muungano au Muungano wenyewe huonekana Aduwi kwa Watanganyika na nizambi kubwa kwa Wzanzibar kuzungumzia suala hilo.

Lakini wakizungumza wao sio zambi? nimara ngapi? Mh Mizengwe Pinda kasema Zanzibar sio nchi,au kusema SMZ na Baraza la Uwakilishi lifee.

Hii sio zambi au kosa kubwa? au ndio ule msemo wa waswahili wasemao kuwa Walie wao tu, Ndege wazuri akina Zuwarde lakini akilia Bundi uchuro?.

Kama viongozi wetu wa smz hawakuwa makini ktk swala la mafuta huenda yakenda ktk wrong hand hivi sasa kuna fununu kuwa Tanganyika itumiayo jina la Tanzania inatuma watalamu wake kisiri siri ili kutafuta wafadhili wa kushimba na kuwauzia mafuta .

Na sio mafuta kwa upande wa Tanganyika tu no, husema mwambao wote wa Tanzania include na Zanzibar husema ni sehemu ya Tanzania.
Ndio ukaona viongozi wengi wa nchi za Ulaya ikiwemo Marekani basi siku hizi hawatoki Bara wameshajuwa kuwa kuna mafuta na kuenda wakapenyeza mrija wao.

Sasa kama viongozi wetu wa Smz hawato acha tafauti na itikadi za chama na wakawa kitu kimoja huenda mafuta yakashimbwa kwa nguvu kwa ubabe wa Tanganyika kwa jina la Muungano.

Hivi sasa kuna badhi ya viongozi wa smz bado hawana msimamo malomu, akiwemo kiongozi wa nchi kuwa suala la mafuta anakiri kuwa ni la Muungano na linajadilika.

Hii ni kauli zaifu na yakuwasaliti Wazanzibar, ule msemo wa watu kuwa kaekwa kwa masharti mawili makubwa kwanza ni mafuta kuya-handover na kufanya serekali mmjo ambayo Zanzibar itapoteza utaifa wake ktk tumbo la Tanzania ambayo ni Tanganyika.
 
Sijui ni jazba au ni haraka, lakini yakhe mie bado sijakufahamu! Edit then come again, tuchangie.
 
ni nini tatizo kwa mwanume kuwahi kufika kileleni mapema a mean chanzo sababu na suluhu
 
Sio tatizo bwana, yawezakuwa ni hisia za mtu kwa mtu fulani!
 
ni nini tatizo kwa mwanume kuwahi kufika kileleni mapema a mean chanzo sababu na suluhu
Sidhani kama upo 'serious' na hiki unachouliza..chanzo...sasa kufika kileleni hujui chanzo chake??...sababu..wewe kwanza mwanauke au wa kiume??..suluhu.. ya nini unataka kujua suluhu???..kwa nini usijipange ndo uulize??
 
Viongozi wa zenj hawataki muungano kwa ajiri ya matumbo yao,ila watu wa kawaida hawana shida
 
ni nini tatizo kwa mwanume kuwahi kufika kileleni mapema a mean chanzo sababu na suluhu

ndugu yangu kabla ya kuanza kueleza shida zetu huwa tunabisha hodi kwa wenyeji na kuomba kukaribishwa
au wewe hukufundishwa huko kwenu?
 
sio tatizo bwana, yawezakuwa ni hisia za mtu kwa mtu fulani!

hapana , hilo ni tatizo na medically inaitwa pre-mature ejaculation, ni more psychological than physiological problem.

Yaweza kutokea tokana na stress, hofu, kupania, kutokuwa na confidence au hata kuwa si mzoefu katika ishu za mapenzi

so muhimu kwako ni kujiamini kabla ya kufanya mapenzi, pili jitahidi kumuandaa mpenzi wako ipasavyo ili unapomuingilia na yeye awe tayari kukupokea na ataenjoy haraka
pia kama inakuwa ngumu sana kwako basi jitahidi kupiga punyeto kwanza ili ukojoe nje halafu ukaoge, na baada ya kupumzika kama dakika 20 waweza anza kumchokoza mwenzio na utajikuta unaenda vizuri

ushauri mwingine ni pia unapokaribia kukojoa jitahidi kuibana misuli yako kama vile unazuia mkojo usitoke halafu weka mawazo yako nje ya lile tendo kwa muda ili feelings zipungue , zikishapungua zirudishe kitandani ili mueendelee. Fanya hivi(yaani kubana misuli na kuhamisha hisia) kila unapotaka kukojoa

ukiona washindwa vaa kondomu hata kama ni kwa mkeo ili kuchelewa kidogo ila hilo likishindwa basi muone sex therapist akusaidie
 
Jamani mie na mke nampenda sana, siku za nyuma nilikuwa nafika kileleni kawaida lkn hivi sasa dah nimekuwa nafika kileleni hata seconds 10 tayari kitu, amekuwa akikasirika sana hata kunisusia halali yangu eti mie 3seconds.

Jamani nipeni ushauri niinusuru ndoa yangu.... Je, nifanyaje angalau nichelewe? Maana hata mimi naogopa mechi kudhania nitamaliza faster....

Mke hajui kukuandaa huyo, inatakiwa akuandae mpaka goli la kwanza litoke kabla hamjasex (kabla haujaingiza kitu ndani) na baada ya hapo ndo muanze. Mara nyingi goli la kwanza ni rahisi sana kutoka. Na baada ya hapo anakufuta vizuri mnaanza upya hapo ukikalia mashine mpaka anapiga kelele utamu si utamu hapo.
 
Ni vizuri kama unaweza kutumia hata angalau dk. kumi mwanamke anajisikia vizuri sana na kukuthamini pia kiasi kwamba hata akifanya kosa lolote yupo tayari kuomba msamaha na kuendelea kuishi nawe asikose utamu.

Ila kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa kuna wanawake wengine watamu sana kuliko kawaida na usipokuwa mwangalifu unajikuta umepiga pasi mbili na ya tatu goli au mwenyewe pia uko hot kuliko mwanamke.

Na kama ukijaribu kuangalia historia yako ya mahusiano ya nyuma na sasa, utaona kuwa kuna tofauti ya wanawake kama sivyo shida kubwa utakuwa unayo wewe hivyo lazima ujitahidi na kujizuia kwenye game ili mwenzako naye afaidi
 
Mkuu punguza kula chips mayai,pendelea kula vyakula vya asili kama ugali wa dona na samaki,maharagwe hakikisha unakuwa na asali mbichi,bila kusahau mihogo na karanga mbichi na mboga mboga,ukizingatia hayo utakuwa unapiga show za hatari mpaka anaomba poo.
 
Hii ya wanawake kutofika kileleni yaelekea ni janga la kitaifa/ kimataifa! Manake naona nyuzi kibao tu zikilijadili hili suala.
 
Back
Top Bottom