kuna pressure point iko btn korodani na anus wakati wa kuanza tendo mwambie wife akubonyeze hapo na kidole(hata ukijaribu mwenyewe kujibonyeza utahisi kama kuna kashimo vile) i tell u utasikia raha ya ajabu lakini hutakojoa na utajisikia kama simba vile anayenguruma na utaweza kuendelea na tendo mda wote.
ikishindikana hii jaribu kuwa unaingiza na kutoa unapohisi kama utamaliza then unaiminya kwenye kichwa hiyo mashine then unairudisha tena hapa utajifunza kuzuia hisia zako kwakuwa unapoitoa nje unakuwa kama unatuliza mzuka hivi.
Tatizo lako linachangiwa pia na udhaifu wa PC muscles ambazo hukusaidia kuzuia kuwahi kufika kileleni-fanya zoezi la kegel ambalo ni kuzifanyisha mazoezi pc muscle ili ziwe active kwa mfano kwa kubana mkojo kila unapokuwa unataka kwenda haja ndogo ama kubwa uwe unaibana kwanza siyo kukurupuka na kutafuta choo kiko wapi unapokuwa unabana unatumia pc muscle na hili ni zoezi tosha la kuzifanya pc muscle ziwe active na zaidi uweze kuzitumia kuzuia kuwahi kufika kileleni.kwa aina dada ambao wanaweza kuzitumia pc muscle zao vyema wanapata raha ya kipekee wanapofika kileleni.
zaidi ya kubana mkojo unaweza kufanya zoezi hili hata ukiwa umekaa ofisini kwa kutuliza akili yako na kuzibana na kuziachia kwa interval ya 30 seconds na kuendelea hadi ukamaliza dk 4 hv,hata ukiwa kwenye foleni barabarani ndani ya gari unaweza fanya pia.at least kwa siku mara tatu -nne hv ufanye hata unapokuwa umejilaza itandani uwe unafanya.
msaada zaidi tafuta mtandaoni kuhusu zoezi hili.
kingine fanya mazoeezi kujiweka fit na pia jaribu kuchezea fikra zako unapokuwa kwenye mechi acha kuwazia tendo unalofanya na badala yake hamisha kidogo mawazo na fikra zako mahali pengine bila kuathiri tendo na hiki ndicho kinachowasaidia walevi wengi hasa wa konyagi/valeur/grants nk ila bia si saana maana inaleta usingizi ukinywa sana unaweza ukaishia kulala fofofo.unapokuwa umekunywa pombe kati ya hizi nilizozitaja akili huchangamka sana na kusababisha mtu asiwe anaconcentrate sehemu moja na ndiyo maana mtu anaweza akasimama dk 30-45 bila kukojoa hadi kubadili condoms hata mara tatu na wengine kuzipasua.
angalizo inategemea na mpenzi/mke wako amekuzoeaje maana kama hajakuzoea kunywa hayo madude ukinywa unaweza ukaishia kunyimwa mchezo au hata ukipewa yeye akawa hafurahii/hajisikii kutokana na harufu ya hizo pombe na matokeo yake hata usimame dk 45 inakuwa kazi bure zaidi utakuwa umeharibu.
kwa msaada zaidi cheki nami
[email protected] nina vitabu vitaavyokusaidia.