Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Sahihi yako inasumbua na mada hii (mla halwa),
Basi jitahidi ule tende kwa wingi zaimarisha kdg,
 
Tayari ushaliwa mkuu! Mke anakuona kama unamchafua tu!
 
Jamani kueni kam watu mnaoelewa umuhim wa alichokieleza Magulumagu katika ndoa. Ninyi mnataka kuongeza tatizo badala ya kulitatua.
Kaka unapoambiwa waganga sio lazima wawe washirikina, herbalists wanasaidia sana, lakini pia haya sometimes hua ni matatizo ya kisaikoliojia.Hebu waone m,adaktari na wasaikoljiia bana wanaweza saidia.
 
Wadau naomba kufahamishwa, kitaalam muda wa kawaida wa mwanume kufika kileleni hua ni dakika/masaa mangapi.hapa tuachane tofutim zetu, ile kwamba mwingine anasisimka haraka/anchelewa, saikolojia, mudi ya siku yenyewe, hali ya afya na mengine mengi yanayoweza kuchangia.
 
Kila mtu anamaumbile yake hapa sijui kama unaweza kufananisha we jipimie muda wako utajua
 
Jamani kueni kam watu mnaoelewa umuhim wa alichokieleza Magulumagu katika ndoa. Ninyi mnataka kuongeza tatizo badala ya kulitatua.
Kaka unapoambiwa waganga sio lazima wawe washirikina, herbalists wanasaidia sana, lakini pia haya sometimes hua ni matatizo ya kisaikoliojia.Hebu waone m,adaktari na wasaikoljiia bana wanaweza saidia.

Yaani humu bwana siku hizi watu wanachakachua thread mapemaa mara signature, mara salamu, mara avatar nk Inaboa fulani hivi.

Mie ushauri wangu nenda kajaribu kumuona daktrari au unaweza kupunguza siku za kufanya mapenzi ili uwe angalau na nguvu kidogo.

Hayo mambo ya viagra sidhani kama yanafaa..

Desidii
 
Mimi huwa nachelewa kufika kileleni, yeye mwanamke anakojoa mara 2 ndo mie mara moja.

Ila nikishafika kileleni itanichukua nusu saa ili nianze tena.
 
mkuu me nadhani utakua unadooo kila siku suala ambalo linakupunguzia energy ya tendo la siku inayofuata...............hebu katafute mkuyati chemsha kunywa ila usimkomesheee
 
Soma thread ya Gosbert. Imo humu jamvini na watu wanaendelea kuchangia mawazo yao. Utapata technique natural ya kukabiliana na tatizo hilo. Usidiriki hata mara moja kutumia dawa za kuongeza nguvu. Utakuwa mtumwa wa dawa hizo
 
Mimi huwa nachelewa kufika kileleni, yeye mwanamke anakojoa mara 2 ndo mie mara moja.

Ila nikishafika kileleni itanichukua nusu saa ili nianze tena.

Tumsaidie mawazo ndugu yetu na si kujisifu.kama we unachelewa yeye itamsaidia nini?.
Jaribu kula asali mara kwa mara na wakati wa kufanya usimuangalie sehemu zake za siri au makalio
 
Nenda hospital inaitwa Natural and therapy, wapo opposite na Hindu mandal Hospital kuna mtaalam wa hayo mambo kuanzia kuwahi sana kama wewe na wengine kuchelewa sana mpaka inakuwa taabu kwa wanawake
 
Jamani mie na mke nampenda sana, siku za nyuma nilikuwa nafika kileleni kawaida lkn hivi sasa dah nimekuwa nafika kileleni hata seconds 10 tayari kitu, amekuwa akikasirika sana hata kunisusia halali yangu eti mie 3seconds, jamani nipeni ushauri niinusuru ndoa yangu.....je nifanyaje angalau nichelewe? maana hata mimi naogopa mechi kudhania nitamaliza faster....

Kaka inategemea unafika kileleni haraka ni kitendo chan ngapi. Kama ni cha kwanza kwa wanaume waliowengi huwa wanafika kileleni mapema. Na pia kumuogopa mkeo na kukaa muda mrefu bila kufanya nae huwa inachangia maana zinakuwa zimejitengeza na zinahitaji kutoka, kwa hiyo zitawahi kutoka tuu. Ushauri wangu unatakiwa ukifanya mara ya kwanza, mshawishi mwenzio muendelee ili uhakikishe anafika kileleni. Ni jukumu lako kumridhisha mwenzio ili asipate matamanio ya nje. Pia mueleweshe mkeo ajue wazi kuwa kwa mara ya kwanza lazima zitatoka mapema tuu. Kama mna watoto hakikisha unajipa muda mzuri wa kufanya tendo la ndoa, nina maana uwe na muda wa kutosha wewe na mwenzio. Kingine inaoneka umeshaathirika kisaikologia, hii pia itakufanya ujisikie mnyonge na kushindwa kusimamisha kuendela na tendo kwa mara ya pili. Ona ni kitu cha kawaida na muandae mwenzio ajue utafika mapema lakini mtaendelea.
 
Tayari ushaliwa mkuu! Mke anakuona kama unamchafua tu!

Eeeeh, embu tufafanulie hapo. Mwanamke akigongwa afu jamaa akawahi huwaga mnahisi nini, kaa vile umekula hasara saana ama? Maana sijawahi kusikia mwanaume akakunja uso eti dame wake hajamridhisha.

Nijuavo mimi tatizo liko kisakoloji zaidi na demu anapokua anakasirika ndo anazidi kulikuza tatizo kwani confidence ya jamaa inakua affected inafika kipindi anakua anagwaya hata issue ya kusex.

Ni bora pia wamama wakawa wanajitahidi pande za rom hata pindi mshkaji akimaliza faster ili asimike na kurudia mechi kawaida baada ya goli la kwanza goli lifuatalo lazma lichelewe tu.
 
Short term plan piga master B kabla ya tendo long term plan ukamwone daktari wa mambo ya uzazi akushauri
 
Dawa ni kuchukua kaa dakika 15 kumpapasa mkeo kila mahali vizuri.
Hakikisha amelainika kwa sana kabla ya kuanza ngwe.
Stress mara nyingi husababisha mtu kuwa katika hali hiyo.
angalia uzito wako kama umeongezeka tuseme kilo 10 hilo linaweza kuwa tatizo vile vile
Punguza kula vyakula vya wanga vinavyoongeza weight.
Kula balanced diet kama inawezekana.

Kama unatumia ulabu kunywa bia mbili ili kuongeza msukumo wa damu.

Ongea na mkeo akupe ukweli, mwulize kama anahisi afya yako imebadilika.

Kuna wanaume wengi wanatatizo kama lako lakini wanaficha umefanya jambo zuri kusema hapa JF.
Kukojoa mapema mara nyingi ni chanzo cha ugomvi katika ndoa.
Hata mimi nilisha gombana na Mke wangu Mama Fox kwa kutofika kileleni kwa wakati mwafaka.
Unajua siye mafox tunakula vitu siku nzima mtindo wa binamu zeetu mbwa???
 
Kila mtu anamaumbile yake hapa sijui kama unaweza kufananisha we jipimie muda wako utajua

haya ndo niliyosema tuya ignore, kwamba hua kuna ule mda ambao ni avarage. sasa me ndio ninao utaka.
 
me dakika moja tu namaliza,....naskia ni kwa sababu nilijichua sana enzi hizo,vipi wewe?
 
Hapo jipime mwenyewe kwani kuna vitu vimeumbwa, vinabana utaachia mlangoni hata sekunde Da kuna wengine rithym inakatika mpaka uvute filling ya mwingine aliyeko mbali na hata saa nzima hufiki kileleni
 
Back
Top Bottom