Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Sekunde 30 kwa bao la kwanza bao la pili dakika 1 hiyo ni kwa upande wangu
Utajumlisha dakika zote zilizowekwa hapa then unagawa utapata wastani
 
Mi ni mwanamke ila sie wanawake bwana sometimes! mwanaume akikawia sana tunaona kero akiwahi sana kero sijui hii kitu inakuwaje. mtu wangu alipata tatizo kama hilo wakati hakuwa hivyo, alichokuwa anafanya ni kunifanyia romance baab kubwa na mpaka nafika kilelen then anapiga sekunde zake tatu anamaliza. na wakati huohuo akaanza kunywa maziwa yaliyochanganywa na mdalasini na asali aliambiwa na mtu mara akabadilika cha moto nakiona, sasa imekuwa kero
 
yah, sure kanuni hii kimahesabu ni sahihi kabisa.
 
sekunde 30 bao la kwanza, dk 3 bao la pili, dk 7 bao la tatu, dk 12 bao la nne, dk 30 bao la tano, dk 47 hivi bao la sita na nikiwa nimekunywa konyagi huwa napiga na la saba about 3 hours later baada ya la sita. Nawasilisha !!
 
Mi ni mwanamke ila sie wanawake bwana sometimes! mwanaume akikawia sana tunaona kero akiwahi sana kero sijui hii kitu inakuwaje. mtu wangu alipata tatizo kama hilo wakati hakuwa hivyo, alichokuwa anafanya ni kunifanyia romance baab kubwa na mpaka nafika kilelen then anapiga sekunde zake tatu anamaliza. na wakati huohuo akaanza kunywa maziwa yaliyochanganywa na mdalasini na asali aliambiwa na mtu mara akabadilika cha moto nakiona, sasa imekuwa kero

Embu tupe zaidi hayo maujuzi,
hayo maziwa ni yale fresh au mgando?
Huo mdalasini nasikitika siujui, hiv naweza kuupata wapi?
Msaada mkuu.
 
Mi ni mwanamke ila sie wanawake bwana sometimes! mwanaume akikawia sana tunaona kero akiwahi sana kero sijui hii kitu inakuwaje. mtu wangu alipata tatizo kama hilo wakati hakuwa hivyo, alichokuwa anafanya ni kunifanyia romance baab kubwa na mpaka nafika kilelen then anapiga sekunde zake tatu anamaliza. na wakati huohuo akaanza kunywa maziwa yaliyochanganywa na mdalasini na asali aliambiwa na mtu mara akabadilika cha moto nakiona, sasa imekuwa kero
Du hata mm Bi Shantel nieleweshe ni maziwa fresh, mdalasini na asali kipimo chake ni glass au kijiko au nusu kikombe?

kwa mie ninavyoelewa Magulumangu ni km nilivyomweleza Gosbertgoodluck ni romance kwa sana halafu hakikisha unaingia chumvini imumuse km pipi gololi au pulizo huku mzee wako akikaa mbali bibie asimguse wala wewe kumkandamiza popote.
kule mwenzio atalowana halafu shika mzee wako shingoni anza kumbamiza taratibu juujuu kwenye mashavu (minor&major labia) hiyo ndo KATERERO
Lazima atanyanyuka kuepa usiache, kwa vile kwenu nii kitu kigeni ajiweke free & flexible
Utahadithia jamvini
 
Jamani mie na mke nampenda sana, siku za nyuma nilikuwa nafika kileleni kawaida lkn hivi sasa dah nimekuwa nafika kileleni hata seconds 10 tayari kitu, amekuwa akikasirika sana hata kunisusia halali yangu eti mie 3seconds, jamani nipeni ushauri niinusuru ndoa yangu.....je nifanyaje angalau nichelewe? maana hata mimi naogopa mechi kudhania nitamaliza faster....

Ongeza "maromance" LOL! na pia kama hufanyi mazoezi basi anza kufanya hivyo kama vile kukimbia, kuruka kamba push up n.k. utaona improvement kubwa baada ya muda mfupi pia hakikisha unapata msosi uliokamilika.

http://www.vevo.com/watch/r-kelly/when-a-woman-loves/USZM21000084
 
Jamani mie na mke nampenda sana, siku za nyuma nilikuwa nafika kileleni kawaida lkn hivi sasa dah nimekuwa nafika kileleni hata seconds 10 tayari kitu, amekuwa akikasirika sana hata kunisusia halali yangu eti mie 3seconds, jamani nipeni ushauri niinusuru ndoa yangu.....je nifanyaje angalau nichelewe? maana hata mimi naogopa mechi kudhania nitamaliza faster....

Fanya yafuatayo:-

Muandae Mwanamke wako mpaka uhakikishe amelegea au hawezi kubana miguu yake yaani kaipanua;
Ingiza uume wako kisha utulie tu bila kuanzisha misuguo mpaka yeye aanze, akianza wewe nenda taratibu saana; akijaribu kuongeza kasi ili akuhamasishe sukuma kwa nguvu halafu tulia tena umsikilizie akiwa anaendelea kufanya msuguo then sugua haraka ila isiwe haraka sana.

Haitajarisha mmetumia muda gani kufika kileleni isipokuwa yeye atakuwa amefika kileleni hatajua kama umefika au la!! Waweza kujifanya umefika ili asijihisi vibaya an kwa kuwa wewe utakuwa hujamaliza lazima baada ya muda mfupi utasimamisha hivyo mtaendelea tena!! KWA NAMNA YEYOTE USIJARIBU KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU.

Pia unapotaka kufika kileleni usijaribu kujizuia, achia tu mambo yafanyike.

Mbadala wa dawa za kuongeza nguvu ni Kahawa; vyakula visivyo na sukari; korosho; karanga; tafuna nazi mbichi; kula vyakula vyenye chumvi ay kama unakunywa pombe nenda kanywe Serengeti. Siyo safari wala ndovu SERENGETI.
 
Nadhani ni suala la kisaikologia zaidi pamoja na muda ulio kaa bila kufanya hilo tenda. Kama una muda mrefu eg weeks goli la kwanza litakuwa ndani ya sekunde kutokana na kuwa na mhemko mkubwa, goli la pili itategemea jinsi utakavyo ukontroo ubongo wako kama unauzoefu unaweza kutumia dakika kadhaa, unatakiwa kwa goli hili ujitahidi kukontroo ubongo wako ili uweze kumridhisha mwenzako vinginevyo huyo mwamke hataweza kuona thamani yako. Kukontroo ubungo unaweza kufanya kwa kufikiria jambo lenye kutisha unapohisi unafika kileleni na utarudi kwenye hatua za mwanzo then utaendelea kumfurahisha mwanamke hapo pia nawe utaweza kuufurahisha mwili wako. Wanaume wenye uwezo mkubwa wa kuzuia kukojoa mara nyingi wanapendwa sana na wanwake kwenye suala la kuamiiyani kwani wanawaridhisha wakati wowote wanapo kutana kimwili.
 
:amen::amen: kwa wale wapenzi wa epl wa arsenal, liverpool, man city, na chelsea unaweza kuwazia ubingwa wakati wa game ili kupoteza concentration na kama ni mpenzi wa yanga ndio mnaweza kabisa kuchelewa kufika kileleni mkijua mpo nyuma na bado simba ina mchezo mmoja mkononi :msela:
:car:
 
Kama unachukia ufisadi mfikirie mpenzi wako kama fisadi.
 
Duh unawezakuwaza vitu kama hivi ukashangaa badala ya kuongeza muda jimboo linasinyaa fyuu inabidi uchomoa ukae pembeni mama akikuuliza vipi unamwambia nimemwona rostam kapita kamshika mkono lowasa na kikwete anakuja nyuma yao na mbele walikuwa wametangulia sumae na mkapa wameubeba uchumi wa nchi wanaupeleka wanasema kwamba wanauhamisha ndio nikastuka
 
Du hata mm Bi Shantel nieleweshe ni maziwa fresh, mdalasini na asali kipimo chake ni glass au kijiko au nusu kikombe?

Maziwa ni fresh,mdalasini waweza weka vijiko viwili ya chai na asali vijiko viwili au vitatu au hata zaidi hakuna kinachodhuru hapo!!
Mdalasini unapatikana sehemu yeyote wanapouza viungo vya chakula na chai.
 
Kufika kilele utegemea sana saikologia na afya bora, kwa maelezo zaidi soma kitabu cha miundo mbinu ya ndoa kuna mafundisho kuhusu aina ya vilele mwanaume na wanamke ufikia wakati wa tendo la ndoa.
 
Mimi huwa nachelewa kufika kileleni, yeye mwanamke anakojoa mara 2 ndo mie mara moja.

Ila nikishafika kileleni itanichukua nusu saa ili nianze tena.
Toa ushauri ni vipi umefanikiwa ili jamaa nae awe kama wewe!
 
:amen::amen: kwa wale wapenzi wa epl wa arsenal, liverpool, man city, na chelsea unaweza kuwazia ubingwa wakati wa game ili kupoteza concentration na kama ni mpenzi wa yanga ndio mnaweza kabisa kuchelewa kufika kileleni mkijua mpo nyuma na bado simba ina mchezo mmoja mkononi :msela:
:car:
hahahahahahahahahahahahahahaha
 
Kabla ya kuanza mchezo inatakiwa uwe unamuandaa mkeo kwa muda mrefu, la sivyo ndugu utakuja kulia utakapoibiwa!
 
Mi ni mwanamke ila sie wanawake bwana sometimes! mwanaume akikawia sana tunaona kero akiwahi sana kero sijui hii kitu inakuwaje. mtu wangu alipata tatizo kama hilo wakati hakuwa hivyo, alichokuwa anafanya ni kunifanyia romance baab kubwa na mpaka nafika kilelen then anapiga sekunde zake tatu anamaliza. na wakati huohuo akaanza kunywa maziwa yaliyochanganywa na mdalasini na asali aliambiwa na mtu mara akabadilika cha moto nakiona, sasa imekuwa kero

Nakubaliana na wewe. Girlfriend wa rafiki yangu alimshuku kuwa anatembea nje kwa kwa sababu jamaa alikuwa anachelewa kufika kileleni. Ilikuwa ni tabu tupu, ikabidi tuu waachane.
 
Duh unawezakuwaza vitu kama hivi ukashangaa badala ya kuongeza muda jimboo linasinyaa fyuu inabidi uchomoa ukae pembeni mama akikuuliza vipi unamwambia nimemwona rostam kapita kamshika mkono lowasa na kikwete anakuja nyuma yao na mbele walikuwa wametangulia sumae na mkapa wameubeba uchumi wa nchi wanaupeleka wanasema kwamba wanauhamisha ndio nikastuka
Ahahahahaaah!! Ule mchezo haufai uwe na mawazo kama haya!
 
Back
Top Bottom