Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

mkuu me nadhani utakua unadooo kila siku suala ambalo linakupunguzia energy ya tendo la siku inayofuata...............hebu katafute mkuyati chemsha kunywa ila usimkomesheee
?


mkuu ushauri wako utafuatwa kama kawa ila mkuyati tena?si ntakuwa nakunywa daily sasa? kudooo kila siku kweli mzee si unajua kipya kinyemi mkuu?
 
Soma thread ya Gosbert. Imo humu jamvini na watu wanaendelea kuchangia mawazo yao. Utapata technique natural ya kukabiliana na tatizo hilo. Usidiriki hata mara moja kutumia dawa za kuongeza nguvu. Utakuwa mtumwa wa dawa hizo


mkuu mbona hujaweka link ya hiyo siredi ya Gosbert? Sihitaji Profesor maji marefu mzee, miti shamba siihitaji hata siku moja....
 
Tumsaidie mawazo ndugu yetu na si kujisifu.kama we unachelewa yeye itamsaidia nini?.
Jaribu kula asali mara kwa mara na wakati wa kufanya usimuangalie sehemu zake za siri au makalio

mkuu umenena eti lenyewe linachelewa sasa mie itanisaidia nini? kweli mtu wangu huwa namwangalia sana mwili wake na kujikuta nalost si unajua tena kipya kinyemi jamani? makalio du siyaoni wakati wa kudooooooo...asante sana kwa ushauri wako mkuu nitachonga mzinga wa asali....
 
Nenda hospital inaitwa Natural and therapy, wapo opposite na Hindu mandal Hospital kuna mtaalam wa hayo mambo kuanzia kuwahi sana kama wewe na wengine kuchelewa sana mpaka inakuwa taabu kwa wanawake


asante sana mkuu ila kama wanatoa madawa sitaki maana sihitaji madawa yoyote....asante kwa ushauri wako na nitaenda kuwaona
 
Kaka inategemea unafika kileleni haraka ni kitendo chan ngapi. Kama ni cha kwanza kwa wanaume waliowengi huwa wanafika kileleni mapema. Na pia kumuogopa mkeo na kukaa muda mrefu bila kufanya nae huwa inachangia maana zinakuwa zimejitengeza na zinahitaji kutoka, kwa hiyo zitawahi kutoka tuu. Ushauri wangu unatakiwa ukifanya mara ya kwanza, mshawishi mwenzio muendelee ili uhakikishe anafika kileleni. Ni jukumu lako kumridhisha mwenzio ili asipate matamanio ya nje. Pia mueleweshe mkeo ajue wazi kuwa kwa mara ya kwanza lazima zitatoka mapema tuu. Kama mna watoto hakikisha unajipa muda mzuri wa kufanya tendo la ndoa, nina maana uwe na muda wa kutosha wewe na mwenzio. Kingine inaoneka umeshaathirika kisaikologia, hii pia itakufanya ujisikie mnyonge na kushindwa kusimamisha kuendela na tendo kwa mara ya pili. Ona ni kitu cha kawaida na muandae mwenzio ajue utafika mapema lakini mtaendelea.

Asante sana kwa ushauri wako, kweli kabisa maana kama kuna siku zingine nikimaliza naunga juju kwa juu na inakuwa fresh na anafurahia sana tu na kuridhika, pia yeye wakati mwingine huwa anaamini kumaliza kwangu mapema kunamfurahisha maana anajua au is proving to her that nampenda sana ndo maana namaliza mapema au ni kuproove am only wake...asante sana ndugu yangu kwa ushauri wako nitaufanyia kazi, bado ni mpya hivyo hatuna watoto au mtoto, we are new in marriage...
 
eeeh,hembu tufafanulie hapo .mwanamke akigongwa afu jamaa akawahi huwaga mnahisi nini,kaa vile umekula hasara saana ama ?maana sijawahi kusikia mwanaume akakunja uso eti dame wake hajamridhisha.
Nijuavo mimi tatizo liko kisakoloji zaidi na demu anapokua anakasirika ndo anazidi kulikuza tatizo kwani confidence ya jamaa inakua affected inafika kipindi anakua anagwaya hata issue ya kusex.
Ni bora pia wamama wakawa wanajitahidi pande za rom hata pindi mshkaji akimaliza faster ili asimike na kurudia mechi kawaida baada ya goli la kwanza goli lifuatalo lazma lichelewe tu.


ushauri utazingatiwa mkuu thanks sana tuuu
 
Dawa ni kuchukua kaa dakika 15 kumpapasa mkeo kila mahali vizuri.
Hakikisha amelainika kwa sana kabla ya kuanza ngwe.
Stress mara nyingi husababisha mtu kuwa katika hali hiyo.
angalia uzito wako kama umeongezeka tuseme kilo 10 hilo linaweza kuwa tatizo vile vile
Punguza kula vyakula vya wanga vinavyoongeza weight.
Kula balanced diet kama inawezekana.

Kama unatumia ulabu kunywa bia mbili ili kuongeza msukumo wa damu.

Ongea na mkeo akupe ukweli, mwulize kama anahisi afya yako imebadilika.

Kuna wanaume wengi wanatatizo kama lako lakini wanaficha umefanya jambo zuri kusema hapa JF.
Kukojoa mapema mara nyingi ni chanzo cha ugomvi katika ndoa.
Hata mimi nilisha gombana na Mke wangu Mama Fox kwa kutofika kileleni kwa wakati mwafaka.
Unajua siye mafox tunakula vitu siku nzima mtindo wa binamu zeetu mbwa???


Asante sana mzee nitauzingatia ushauri wako kwa sana tuuu
 
Mi ni mwanamke ila sie wanawake bwana sometimes! mwanaume akikawia sana tunaona kero akiwahi sana kero sijui hii kitu inakuwaje. mtu wangu alipata tatizo kama hilo wakati hakuwa hivyo, alichokuwa anafanya ni kunifanyia romance baab kubwa na mpaka nafika kilelen then anapiga sekunde zake tatu anamaliza. na wakati huohuo akaanza kunywa maziwa yaliyochanganywa na mdalasini na asali aliambiwa na mtu mara akabadilika cha moto nakiona, sasa imekuwa kero


Asante sana dada angu yaani acha kabisa mie nakoma, nilikuwa fresh tu lkn sasa dah hadi naona noma.......
 
Du hata mm Bi Shantel nieleweshe ni maziwa fresh, mdalasini na asali kipimo chake ni glass au kijiko au nusu kikombe?

kwa mie ninavyoelewa Magulumangu ni km nilivyomweleza Gosbertgoodluck ni romance kwa sana halafu hakikisha unaingia chumvini imumuse km pipi gololi au pulizo huku mzee wako akikaa mbali bibie asimguse wala wewe kumkandamiza popote.
kule mwenzio atalowana halafu shika mzee wako shingoni anza kumbamiza taratibu juujuu kwenye mashavu (minor&major labia) hiyo ndo KATERERO
Lazima atanyanyuka kuepa usiache, kwa vile kwenu nii kitu kigeni ajiweke free & flexible
Utahadithia jamvini


Mkuu dah hiyo kweli somo baab kubwa nitafanya hayo mambo sio mageni kwangu.......
 
Asante sana kwa ushauri wako, kweli kabisa maana kama kuna siku zingine nikimaliza naunga juju kwa juu na inakuwa fresh na anafurahia sana tu na kuridhika, pia yeye wakati mwingine huwa anaamini kumaliza kwangu mapema kunamfurahisha maana anajua au is proving to her that nampenda sana ndo maana namaliza mapema au ni kuproove am only wake...asante sana ndugu yangu kwa ushauri wako nitaufanyia kazi, bado ni mpya hivyo hatuna watoto au mtoto, we are new in marriage...

Magulumangu mie nakupongeza kwa jinsi unavyojibu kila comment bila hasira wala hamaki, unaonekana mkuu kichwa chako kimetulia sana kwa busara manake comments zingine zilikuwa za maudhi.


Baada ya hayo kwanza nikueleze kuwa tatizo ulilonalo linawasumbua wanaume wengi sana duniani kwa sasa na hii inatokana na mifumo ya maisha tuliyonayo kwa sasa, lakini tatizo hili linaweza kuwa kubwa zaidi likihamia kwenye saikoloji. Nakushauri kwanza chukulia ni jambo la kawaida na pili kwakuwa sasa umeshaingiwa na hofu kuwa performance yako siyo nzuri embu tumia muda mwingi kujikumbusha siku zile za mwanzo ambazo ulikuwa unauwezo wa kuchapa muda mrefu then tumia hiyo kama benchmark yako na usifikirie zile siku ambazo ulikuwa ukishindwa, jambo lingine hakikisha unapiga foreplay ya kutosha kiasi kwamba ukiingiza mashine ndani ya sekunde mbili nae anakuwa hoi! halafu mtaenda sawa round ya pili.
 
Fanya yafuatayo:-
Muandae Mwanamke wako mpaka uhakikishe amelegea au hawezi kubana miguu yake yaani kaipanua; Ingiza uume wako kisha utulie tu bila kuanzisha misuguo mpaka yeye aanze. akianza wewe nenda taratibu saana; akijaribu kuongeza kasi ili akuhamasishe sukuma kwa nguvu halafu tulia tena umsikilizie akiwa anaendelea kufanya msuguo then sugua haraka ila isiwe haraka sana. haitajarisha mmetumia muda gani kufika kileleni isipokuwa yeye atakuwa amefika kileleni hatajua kama umefika au la!! waweza kujifanya umefika ili asijihisi vibaya an kwa kuwa wewe utakuwa hujamaliza lazima baada ya muda mfupi utasimamisha hivyo mtaendelea tena!! KWA NAMNA YEYOTE USIJARIBU KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU. Pia unapotaka kufika kileleni usijaribu kujizuia, achia tu mambo yafanyike. Mbadala wa dawa za kuongeza nguvu ni Kahawa; vyakula visivyo na sukari; korosho; karanga; tafuna nazi mbichi; kula vyakula vyenye chumvi ay kama unakunywa pombe nenda kanywe Serengeti. siyo safari wala ndovu SERENGETI.


Asante sana mkuu nitazingatia ushauri wako ni mzuri sana....
 
Maziwa ni fresh,mdalasini waweza weka vijiko viwili ya chai na asali vijiko viwili au vitatu au hata zaidi hakuna kinachodhuru hapo!!
Mdalasini unapatikana sehemu yeyote wanapouza viungo vya chakula na chai.


First lady asante sana, msalimie Obama hapo
 
Ni yale ya mtindi wakati mwingine haya ya kawaida. mdalasini ni yale magome ya miti yanatumika hata kwenye pilao ukienda kwenye viungo vya pilao watakupa unayasaga kwenye blender yanakuwa unga asali ni ya nyuki wadogo hii inafanya kazi nimeshuhudia mwenyewe


ushauri utafuatwa mandugu....
 
je sababu inaweza ikawa overweight?je mtu atumie chai ya kichina ya kupunguza weight?vipi kuhusu kuongeza uume kama mkeo anasema hauskii uume wako wakati wa tendo!
 
Back
Top Bottom