Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mkuu ni gari tu huyo hapigi start, sasa nilitee mm nimuwashe then ww utaendesha. Nakuwashia tu mkuu.

Jamani leo nimejitahidi wee nusu saa sijakojoa lakini mwenzangu hafiki kileleni nimfanyeje afike kileleni naona sijamtendea haki mimi napata raha ya juu yeye yuko kawaida tuu nimefanya kila utundu wapiii au ni sababu nilitumia condom!!msaada kwenye tuta.
kunywa viagra

Jaribu kumpa outing, mbadilishe mazingira ya mahali mnapofanyia. Nina experience ya mchumba wangu wa zamani, yaani nilikuwa naye kwa karibu mwaka mzima sikuwahi kumfikisha, siku nilipomtoa out tu, kitu kikajibu mapema kabisa, hadi nikashangaa. Kwa hiyo yeye hakuwa comfortable na yale mazingira. Tunapokuwa kwenye shughuli, yeye alikuwa anafikiria uwezekano wa mtu kuingia au majirani kusikia kelele. Kiujumla hakuwa anapenda watu wajue kwamba tunadu. Kwa hiyo akawa anakuwa stressed. Jaribu kubadili mazingira ya hiyo shughuli halafu utakuja utuambie.

mopaozi

Everyone is different, so you can't judge her with the same yardstick. Pia unajuaje hao wa "b4 nusu saa tayari nasikia aam komiing" were not fakers? Anyways, my take on this is; the best person to learn this from is your partner herself. Kaa nae chini muulize what seems to be lacking and/or what is needed from you ili naye afikie huko kwa "aam komiing" .........................

true that

Nusu saa haitoshi!!! Yaani wanaume wengi ni maharage ya mbeya we unasema muda huo hautoshi!!kweli nadata kumuacha siwezi nategemea kumuoa sijawahi kumsikia akilalamika ila mimi concern yangu ni kuona anafk kileleni!!

kufika kileleni c lazima aseme am cmng wengne wanafika kimya kimya

Muulize kama anataka ubadiri kitu maana unaweza kuwa unakitu yeye kinamkera au HAKUPENDI au WEWE BUZI.

Kama ulivyoambiwa na wengine ongea nae na mfanye awe free kukueleza kama mmezoeana kiukweli mtaambiana na hakuna kukasirika bali kufurahia mnaelewana etc

Dah inamana m2 wngu unapiga bao 1 huh!tena jiandae kukmbiwa!

Kuna maana gani kupiga bao nne halafu mwenzio mkaaavuuu hapo utakuwa umejivunia nini bora bao moja na yeye moja then hayo matatu yakafuatia we unajisikiaje ukikamua mawili wkt mwenzio bila c umefungwa wewe!!!

du elimu tosha kwa wale ambaohawajui cha kumridhisha mwezzi wake kitu cha ukweli

Du! Tatizo Ni aibu za kinafiki!
Wengi wamekuelewa but practicing
Mtihani mgumu! Utadhani wanafanya
Kwa faida yako. Wengi wao hawajijui, wala
G spots zao. Mwisho wanamalizia na fake
Orgasms!
Kwa wanaume mlangoni (lips) na sehemu ya
Juu kuelekea ndani ya ........ , hapo ndipo
Mpelekee

Du! Tatizo Ni aibu za kinafiki!
Wengi wamekuelewa but practicing
Mtihani mgumu! Utadhani wanafanya
Kwa faida yako. Wengi wao hawajijui, wala
G spots zao. Mwisho wanamalizia na fake
Orgasms!
Kwa wanaume mlangoni (lips) na sehemu ya
Juu kuelekea ndani ya ........ , hapo ndipo
Mpelekee moto wa hatari! Hakika kwa Mara
Ya kwanza mtaona fontains!
Pigeni

Du! Tatizo Ni aibu za kinafiki!
Wengi wamekuelewa but practicing
Mtihani mgumu! Utadhani wanafanya
Kwa faida yako. Wengi wao hawajijui, wala
G spots zao. Mwisho wanamalizia na fake
Orgasms!
Kwa wanaume mlangoni (lips) na sehemu ya
Juu kuelekea ndani ya ........ , hapo ndipo
Mpelekee moto wa hatari! Hakika kwa Mara
Ya kwanza mtaona fountains!
Pigeni kazi wababa!

mkubwa nimesoma mpaka uume wangu umesimama.so inatakiwa nikafanyie practise just now maana nahis nitasahau.asante mkuu

Back
Top Bottom