Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Wakuu niko naendelea vizuri na Phd yangu sex univeristy holland . Proffesor moja katupa lekcha unahusu kitendo cha kufika kilenei kwenye tendo la kujamiaana . Nisiwamalizie utamu someni wenyewe



Kwa notisi zaidi nenda kwenye tovuti ya chuo sex-univeristy-hlolland faculty of orgasm
 
Jamani nisaidieni mwanamke kusema amefika kileleni au kukojoa inakuaje????
 
una akili kweli wewe kuuliza swali kama hili? Kiazi kweli wewe!
 
Jamani nisaidieni mwanamke kusema amefika kileleni au kukojoa inakuaje????
 
Ukikua utayajua. Wewe soma kwanza.
 
Najua ni ngumu mamodz kujua umri wa watumiaji humu, vp mnashindwa hata kutumia vigezo vya posts kama hizi? hii inaonesha kabsa huyu mtu ni under age., I suggest alimwe BAN ya miaka 8 ya kuingia hili jukwaa, tukiamini ana miaka 10 kwa sasa. khaa!!
 
unapokojoa wewe unakuwaje ukielewa hili basi ushapata jibu mpwa
 
Vipi we unatambuaje kua mwenza wako amefika kunako? Yaan kileleni?
 
huwa anamtukana mama yake huku anapiga makelele ya kimahaba mda mwingine hata kuning'ata
 
Majibu mazuri utayapata toka kwa huyo anayekupa 'mshedede'.
 
au ukiona pepo zimeanza kuvuma toka kusini kuelekea magharibi kwa 12km/hr
na mawimbi ya kati ya bahari, vipindi vifupi vya jua na mvua kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…