Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mimi nina tatizo moja tu na wewe Mzizimkavu ukichukua kazi ya mtu mtaje hata kiduchu mwisho wa maelezo, mara nyingi kazi za watu unajifanya za kwako. Kukoroma ya mtu hii Dinahicious.blog sio vizuri.

acha wivu, kwani nani kakwambia hapa tunatunuku vyeti vya shule kusema, mtu atavuliwa digrii yake? jamaa kaleta somo zuri inatosha na wewe kama unajua huko alikodesa si utaje tu ili tujue kuwa na wewe ni msomaji mzuri na una ufahamu wa mambo. Unakomalia jambo as if dunia inaisha kesho au umeletewa mashtaka. mweeeh!
 
acha wivu, kwani nani kakwambia hapa tunatunuku vyeti vya shule kusema, mtu atavuliwa digrii yake? jamaa kaleta somo zuri inatosha na wewe kama unajua huko alikodesa si utaje tu ili tujue kuwa na wewe ni msomaji mzuri na una ufahamu wa mambo. Unakomalia jambo as if dunia inaisha kesho au umeletewa mashtaka. mweeeh![/QUOTE

sio kazi yake,si aseme tu source...kwani itampunguzia nini?
 
duuu kazi kweli kweli!!

sidhani kama mwanamme yeyote akikusikia unamwacha byfriend wako coz of that reason atataka kuwa nawewe!

sijajua hakufikishi kileleni kwa mantiki gani na kwa kiasi gani, but kuna sababu nyingi zinazopelekea kutofika kileleni kwako, inawezekana ww ndio tatizo kubwa, hebu kaa chini na huyo mwenzio mpate darasa la mapenzi jinsi ya kuridhishana bana

AFU WEWE INAONEKANA UMESHAJENGA AKILINI MWAKO MAPENZI NI ALL ABOUT NGONO TUU, YAANI BILA NGONO HAKUNA MAPENZI, Tena inaonekana unataka ngono ya kiwango cha juu

kwa mantiki hii hutokuja kudumu na mwanamme yeyote yule katika maisha yako...! kozi always mwanamke akikaa na mwanaume zaidi ya miezi 3 hali ya kuzoeana inajengeka so kunakuwa hakuna kitu kipya

acha uzembe ww mapenzi ni pamoja na care, upendo, faraja, kusaidiana na kupeana kampani, ngono inasehemu ndogo sana katika mapenzi
 
pole sana dada najua unachomaanisha huyo mwanaume wako anajipenda mwenyewe tu....hapendi kujituma si ndio hivyo?
 
Join Date : 9th February 2012
Posts : 26​


JF bana, kaazi kwelkwel! Ukifikisha Posts 100, itakuwa balaa!!
 
Wewe ni dada yake na cholo nini ? Mbona mmefanana paka kucha ?
 
Ukitaka upate ushauri mzuri wa mambo ya chumbani omba mPM invisible akupe access ya jukwaa la kikubwa maana hata post yako ya jana umeshindwa kuiona
 
Find out the reason! It might be one of you have problem.
Unaweza kuta huandaliwi vizuri
Unaweza kuta ubunifu hakuna
Unaweza kuta kuna kinyaa kma vile bwawa, ukubwa wa ..... nk
Kero! Kuomba kitu ama fedha katikati ya sgughuli
Yule wa kwanza alikuzoesha vibaya
we tafuta tu utajua sababu
 
Back
Top Bottom