Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Huyu inawezekana anapenda sana hela. Jamaaaaaaaa hujimalizia fasta maana analipia huduma. Kwa nini ampe mtu raha wakati anadai fweza!
 
mimi nimesha maliza chuo na subiri kwenda us kuendelea na masomo
 
duuu kazi kweli kweli!!

sidhani kama mwanamme yeyote akikusikia unamwacha byfriend wako coz of that reason atataka kuwa nawewe!

sijajua hakufikishi kileleni kwa mantiki gani na kwa kiasi gani, but kuna sababu nyingi zinazopelekea kutofika kileleni kwako, inawezekana ww ndio tatizo kubwa, hebu kaa chini na huyo mwenzio mpate darasa la mapenzi jinsi ya kuridhishana bana

AFU WEWE INAONEKANA UMESHAJENGA AKILINI MWAKO MAPENZI NI ALL ABOUT NGONO TUU, YAANI BILA NGONO HAKUNA MAPENZI, Tena inaonekana unataka ngono ya kiwango cha juu

kwa mantiki hii hutokuja kudumu na mwanamme yeyote yule katika maisha yako...! kozi always mwanamke akikaa na mwanaume zaidi ya miezi 3 hali ya kuzoeana inajengeka so kunakuwa hakuna kitu kipya

acha uzembe ww mapenzi ni pamoja na care, upendo, faraja, kusaidiana na kupeana kampani, ngono inasehemu ndogo sana katika mapenzi

Mkuu ebu fafanua basi.....yeye atakuwaje chanzo cha kutofika kileleni?? Ukiachana na mambo ya disturbances na stress, kwa sababu sidhani kama anaweza kuwa hivyo kila siku!
 
Wewe unahitaji ?
Ya nini kusumbuka na mtu usiemuona labda unaweza kuwa hata mwanaume mwenzangu! ngoja wazinzi utawaona wakavyokupapatikia, mie zikinizidi navuta housegirl wangu napunguza mafuta naendelea kuperuzi JF.
 
anatumia muda mfupi?hajitumi?hapendi mara kwa mara?kuwa muwazi tukusaidie...au nitafute
 
mimi nimesha maliza chuo na subiri kwenda us kuendelea na masomo

Kuuumbe ndo maana hufiki. Chuoni si walikuwa wengi! Haya mama safari njema kwenda us. Lakini naskia eti unaenda China kujifunza urubani. Air Force 1 ya Tanzania haina rubani. Mwanaasha bwana huishi vituko wewe!
 
Nilimwambia akasema mimi napenda ngono

Pole.. huyo mambo yameshamshinda, mwambie akamwone daktari apate ushauri.
Na wako wengi si unaona mabango ya dawa za kienyeji..eti maganga kutoka sumbawanga ana dawa za nguvu za kiume hujiulizi mbona hakuna nguvu za kike!
 
kweli umemchoka,
hapo mwanzo ulimwambia? mana iswe ukijiliza tuuuuu mie ooohhh kama wewe hakuna apo apo darling ooohhh nimekojowa mara 3 kwa mpigo, mwenzio anaona anawajibika kumbe ukimzinguwa, sasa unashindwa kumueleza ukweli unadai umechoka, sema kama uliwahi kumwambia na ilkuwaje kisha tukusaidie.
ukimuacha kwa sababu hizo utawaacha wengi usikute tatizo unalo mwenyewe.
 

...kukimbia jukumu lako, yeye anakusaidia tu...kileleni unatakiwa ufike mwenyewe.
 
Back
Top Bottom