Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

..naskia wenzako huanza na maji ya moto bafuni.. Wanamaliza kabisa wakijua kwa bed ni bilabila.. Ka vp chukua hyo au potezea.. Simo.
 
Sasa mbona tena umeenda kufungua sredi ingine eti UNATAFUTA BWANA! Si tuelewane tu.
Valentine hiyo inakuja tumalizane kwenye PM bana. Please my pillow, my carpet, my pilipili hoho. Pleaseeeeee!
 
Sasa mbona tena umeenda kufungua sredi ingine eti UNATAFUTA BWANA! Si tuelewane tu.
Valentine hiyo inakuja tumalizane kwenye PM bana. Please my pillow, my carpet, my pilipili hoho. Pleaseeeeee!
Vibinti kama hivi visivyotulia, Ukikipata dawa yake ni kukikomesha tu! Unagonga kotekote ma.b.ake! aende akaombe tena ushauri JF.
 
Ntakupa tips za kufanikiwa ktk hitaji lako thru pm, subiria!
 
Kaaazi kweeeli kweeeeli.... !!!!!!!!!!!

Maskini ni FRGID huku hajitambuwi. Wewe umejifuwa sana mwenyewe mpaka unakosa sesitisation kwenye nanihii. Unamlaumu bure kaka wa watu. Sasa wacha kujifuwa na baada ya muda, numbness itakapo wacha uta anza kufikishwa utakapo ingiliwa.

GOOD LUCK.
 
Leo tena amepost thread nyingine: 'Natafuta bwana.'
Atakuwa na pepo huyu binti!

Asee nimeipitia ile posht yake kule eti anataka wa miaka 20 mpaka 30 afu awe na hela. Hafiki kileleni anataka fweza! Utata mtupu! Aseme yeye ni mjasiria mali na anataka kuzichanga ili apate nauli aende us akasomeeee! Kama kweli anaenda kusoma!
 
Mambo mengine bwana!!
Kwanza mi nahisi tayari ushamchoka huyo mpenzi wako ndo maana unahisi hufiki huko unakokuita kileleni.
Isitoshe nijuavyo mimi kufikishwa sio ndio kila kitu katika mapenzi.
Pia kuna vitu kadhaa ambavyo huchangia kutofika huko kunako kilele ikiwa ni pamoja nahili mfano labda umeshatumia kale kanjia ka kujinani wewe mwenyewe, manake naskia na maduu nao wanapigaga puri,so duu kama huyo hata upige dakika 40 ye wala hafili chochote.
Thas why mi naitaga kesi kubwa mahakama ndogo !!!
 
pole, mwenzio hajitumi?

Kama mvivu hebu mfunsishw mwambie akuguse wapi akushike wapi na mwelekeze akufanye nini.

Na umemueleza kuwa hakufikishi?
Na mwenyewe unajituma?
 
Back
Top Bottom