Jukwaa la kikubwa lipo wapi ?yule uliyesema kakufanya ujiunge jf?. basi unatakiwa umjenge kisaikologia. nenda jukwaa la kikubwa kwa msaada zaidi.
Tell him the truth
Wewe ni dada yake na cholo nini ? Mbona mmefanana paka kucha ?
Nimeogea nae hajaliUmeongea na mhusika (mpenzio) au wajifurahisha kwa kutuambia sisi???
Kaa chini na umweleze ukweli ya kuwa hakufikishi na pia inabidi umsaidie maana yawezekana hajui ni sehemu zipi zinakupa hamasa zaidi ukitomaswa au ukiguswa.
Wapi kwako ?Njoo kwangu ila kwa masharti, sio ukihit orgasma moja unalala wakati bado ninahitaji kuendeleza libeneke.
Yaonekana u mhitaji sana, ile Post yako kule jukwaa la watu wazima inayohusu muhogo nimeiona!nimechoka na huyu mpenzi wang
I told him already
Jukwaa la kikubwa lipo wapi ?
Si useme tu unakaa Mku-nazini YakheYakhe mie napita nenda vyangu Mfereji wa wima! Ntarudi baadae ati!
Umeiona wapi mimi naona kama itatolewaYaonekana u mhitaji sana, ile Post yako kule jukwaa la watu wazima inayohusu muhogo nimeiona!
MasakiSi useme tu unakaa Mku-nazini Yakhe
Nilimwambia akasema mimi napenda ngonoMwongo! Hujamwambia! Sema ulimwambiaje! Subutu yako!
Masaki
kwa wamakonde au?
Masaki