shizukan
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 1,158
- 564
Naulizia kwa kuwa nimekutana articles nyingi zikieleza kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufikia mshindo "Naomben wataalamu humu Jf mniambie
"je nitajuaje kuwa mpenzi wangu nimemfikisha kileleni bila hata kumuuliza"
Kwanza nikanushe kitu: SI VUGUMU SANA kama inavyosadikika. Ni vile huwa wanaume wengi hawajui nini wafanye kuwaridhisha wapenzi wao. Wengi hukimbilia kusukuma ndani na nje kana kwamba kuna shughuli ya kutumia misuli pale. Sehemu zinazotakiwa kuguswa ili uonekane wa maana wala haziko huko maili saba kutoka langoni. Wewe jaribu kuingiza vidole vyako viwili vya mkono hapo kwa ndani kidogo usawa kama wa inchi 2 upande wa juu halafu fanya kama unamuita mtu kwa ishara halafu uniambie bado ni vigumu.
Akifika kileleni utamtambua kwa namna atakavyobadilika. Yawezekana akalegea au akaongea mambo yasioeleweka kwa muda fulani yakifuatiwa na uso wa haya. Lkn kila mwanamke ana style yake. Ila si kweli kwamba ni ngumu.