Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

It takes two to tango...................u aint exclusive in this....u share this total failure wt yo dude
 
What is your best????? r u sure that is the best???

Actually, I was to ask the same questions. I had a girl friend ambaye siku nampiga chini alikuwa akilalamika kwa nini namuacha while she is doing her best. In fact yeye alichokuwa akifanya ni kuguna guna tu akiichukulia miguno kama ndiyo maujanja. Yaani, mpaka kufikia hapo niliweza kudumu naye kwa sababu tu kitu yake ilikuwa imesisima.
 
Naulizia kwa kuwa nimekutana articles nyingi zikieleza kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufikia mshindo "Naomben wataalamu humu Jf mniambie
"je nitajuaje kuwa mpenzi wangu nimemfikisha kileleni bila hata kumuuliza"
 
Simple....utaona shuka zimelowa mkojo..if and only if "kileleni=kukojoa/kupizi"
 
Naulizia kwa kuwa nimekutana articles nyingi zikieleza kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufikia mshindo "Naomben wataalamu humu Jf mniambie
"je nitajuaje kuwa mpenzi wangu nimemfikisha kileleni bila hata kumuuliza"

Swali zuli sana mkuu. Big up!
 
nimesoma articles 1000 kidogo kuhusiana na suala hilo!zinaweza kuwapo namna nyingi za wewe MWANAUME kujua lakini NO-ONE IS GUARANTEED!

MWACHE MWANAMKE AKUAMBIE MWENYEWE!FULL STOP
 
"je nitajuaje kuwa mpenzi wangu nimemfikisha kileleni bila hata kumuuliza"

Wahenga hulonga kuuliza siyo ujinga..........hivyo usittulize sisi wakati nyama ule wewe halafu sisi tufukuzane na ngozi lol......
 
Back
Top Bottom