Naulizia kwa kuwa nimekutana articles nyingi zikieleza kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufikia mshindo "Naomben wataalamu humu Jf mniambie
"je nitajuaje kuwa mpenzi wangu nimemfikisha kileleni bila hata kumuuliza"
Subiri wenyewe waje!!!!!
nimesoma articles 1000 kidogo kuhusiana na suala hilo!zinaweza kuwapo namna nyingi za wewe MWANAUME kujua lakini NO-ONE IS GUARANTEED!
MWACHE MWANAMKE AKUAMBIE MWENYEWE!FULL STOP
Naulizia kwa kuwa nimekutana articles nyingi zikieleza kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufikia mshindo "Naomben wataalamu humu Jf mniambie
"je nitajuaje kuwa mpenzi wangu nimemfikisha kileleni bila hata kumuuliza"
Ili afike kileleni lazima ajambe kwanza
Mbona una haraka? Ukikua utajua haya mambo automatikale! Sawa eeh?
Kwanza nikanushe kitu: SI VUGUMU SANA kama inavyosadikika. Ni vile huwa wanaume wengi hawajui nini wafanye kuwaridhisha wapenzi wao. Wengi hukimbilia kusukuma ndani na nje kana kwamba kuna shughuli ya kutumia misuli pale. Sehemu zinazotakiwa kuguswa ili uonekane wa maana wala haziko huko maili saba kutoka langoni. Wewe jaribu kuingiza vidole vyako viwili vya mkono hapo kwa ndani kidogo usawa kama wa inchi 2 upande wa juu halafu fanya kama unamuita mtu kwa ishara halafu uniambie bado ni vigumu.
Akifika kileleni utamtambua kwa namna atakavyobadilika. Yawezekana akalegea au akaongea mambo yasioeleweka kwa muda fulani yakifuatiwa na uso wa haya. Lkn kila mwanamke ana style yake. Ila si kweli kwamba ni ngumu.
Tatizo wengine ni waoga iwapo ukimuuliza anajibu ndiyo ili asikufanye ujihisi Inferior
Kitaalamu sijui lakini nasikia watu wanauziana mbuzi kwa mlio wake tu. Utaanza kupigiwa makelele hata hujamgusa.
ni kweli anaweza "kukufariji kwa kukudanganya kafika" lakini atafanya hivyo tu pale inapokuwa you were too from satisfying her!nikimaanisha akijicheki yeye bado kabisa lakini wewe ushashusha mzigo kitambo.lakini kama huwa unamfikisha na ikatokea sometime kaishia njiani anakuambia tu!ni jukumu lako sasa kuhakikisha mnafika wote au yeye mwanamke kwanza!
katika uhusiano wa muda mrefu au ndoa ndipo unapoweza kufikia hatua ya kuambiwa ukweli lakini ktk mahusiano ya kingono tu yasiyo rasmi ni jambo la nadra kuambiana ukweli!
Kaka hiyo nimekutana nayo na nimeifanyia kazi ni succes lakin inaitaji msaada wa mafuta ya kufanyia massage
Ndiyo maana nataka nijue kwa kuangalia signal mwenyewe kuepuka hayo yote.
utamuona anakung'ang'ania(hug) tightly ujue tayari mgambo wameingia ikulu
mm mpaka aseme basiiii...
najua tayari aise!