Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Kwanza unatakiwa kujua hayo maji yanayotoka yakoje ..ukisha jua hilo basi your the winner ...
Maana wanawake wengi wana feki ...
Na njia moja wapo ya we kujua ni kwenda ikulu kistaarabu na kugusa ... na kama unajua texture yake .. BINGO ..
Usiniulize texture yake ikoje ..your homework
binafsi sijaridhishwa na ushiriki wa akina dada katika kutoa mchango wa mawazo yao hapa!huwa nadhani wanawake wanafahamu kidogo sana kuhusiana na miili yao wenyewe.....come on ladies....prove me am wrong...toeni michango yenu
wahenga hulonga kuuliza siyo ujinga..........hivyo usittulize sisi wakati nyama ule wewe halafu sisi tufukuzane na ngozi lol......
Jaribu kumfila utaona atakavyofika na hatakuucha hata siku moja.
Naulizia kwa kuwa nimekutana articles nyingi zikieleza kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufikia mshindo "Naomben wataalamu humu Jf mniambie
"je nitajuaje kuwa mpenzi wangu nimemfikisha kileleni bila hata kumuuliza"
mi wangu huwa ananiambia kama anakaribia kukata kona!tabia zao ni kukumbatia kwa nguvu, kunyosha miguu juu huku sura akiwa .................au kukuuma kwa furaha anayoisikia!tamu ni pale mnaponanii pamoja mashalaah!!!!usiombe haki ya nani hutaacha kudo!
mwanamke akiwa baunsa lazima utapike kipolo ulichokula
Toa jibu!
mara nyingi wanawake wanawasindikiza tu wanaume mpaka amkute anaempenda ndio utamsikia akikojoa
Mwanaume akifka kileleni anatoa shawawa, mwanamke je?
Mwanaume akifka kileleni anatoa shawawa, mwanamke je?