Hello friends.
Mimi nina swali kwa wanaume,,pia napenda kupata honest answers...swali ni hili..Hivi wewe kama mwanaume unaejiamini ktk mambo yako na maisha kwa ujumla,na una mpenz wako na mnapendana sana,,
lakini kiukweli katika swala la mapenzi (sex) huwa haumridhishi mwenzio na humfikishi anakotaka...
Mrembo wako huyo anapokuwa muwazi kwako na kukuambia how weak you are in bed,..and how boring she feels unapoishia njiani bila kumfikisha kuleeee..na pia anakueleza jinsi wenzake wanavoridhishwa kimapenzi na wanaume wao,,lakini wewe humtendei hivyo...jinsi gani anatamani ubadilike au anaelezea hamu yake ya kuridhishwa na wewe but you cant..
Je wewe kama mwanaume utajisikiaje unapogundua kuwa humridhishi mwenzio???pia utachukua hatua zipi kiungwana ili kumaliza tatizo na kuokoa penzi???