Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

La mcngi w/ume jifunzeni jinc ya kuwaandaa wake/wapenz wenu theoreticaly & practicaly ili na wao wafaid!!

here we go again... kuandaliwa kuandaliwa, kila mtu inabidi ajitume na kufaidi kwa jasho lake sasa kha!
 
here we go again... kuandaliwa kuandaliwa, kila mtu inabidi ajitume na kufaidi kwa jasho lake sasa kha!

if that is the case then don't complain m/mke akisema hajafikishwa uhuru peak!..
 
kwa jns wanawake walivyoubwa hawana msimamo so hat uwaz kwao ni tabu pacpo kujifahamu
 
Hivi hii access ya jukwaa la wakubwa inapatikana vipi jameni, mbona sie wengine na midevu yetu tunaishia kuambiwa hatuna enough privilledge kujifunza yalo humo!!, msaada plz., n sorry mwenye thread kwa kwenda nje ya mada

mpm invisible, uattach na cheti cha kuzaliwa.
 
mtu akitega tu mashine akasubiri kufikishwa definitely asitegemee kufika

ofcoz! That thing must involve two people in action, its not an act of single person kila m2 anafaham hilo,everyone must play their parts!
 
wewe ni ke/me? Kabla sijatoa ruhusa inabidi nijue hilo.

Wife unasemaje? Lakini huyu ni mtu muhimu kwetu! Kule kwenye Uzi wa propasal ya BAGAH kajitambulisha ni dadaake Vivian, acha nitamsaidia
 
Kufika kilele kwa mwanaume ni almost automatic kuwa kila tendo litaishia kileleni, kwa mwanamke bahati mbaya sana si hivyo. Na dawa ni mwanamke mwenyewe, si mwanaume hata kidogo. Kama ni mchango mwanaume anatoa kama asilimi 20 tu, themanini zilizobaki ni mwanamke mwenyewe. Usijidanganye (kama wewe ni mwanaume) eti ni bingwa wa kuwafikisha wanawake. Wanawake ni noma. Mambo kwenye game hizo yako kisaikolojia zaidi kuliko kimwili. Katika mambo hayo wanaume ndo wako kimwili zaidi kuliko wanawake.

Kwa hiyo, mwanamke, kama hajajiweka sawa mwenyewe kichwani mwake, ni bure mwanaume utahangaika tu. Ila kama kajiweka sawa (mwanaume unachangia 20% kwa mwanamke kujiweka sawa), wala hahitaji kutumia nguvu. Hili hata watafiti wengi limewaacha hoi, wanawake kwa mambo hayo ni noma; hakuna fomula!
 
Mkuu, Formula ipo!

Umeshawahi kumuona mwanamke anapata Full Body Orgasm? - yaani achana na orgasm ya kawaida ... hapa naongelea Full Body Orgasm ambapo anapata multiple, powerful sexual orgasms? - mwili wake wote unakuwa shake kwa muda hata dakika 8 nzima na in-between anakuwa ana-squirt?! zaidi ya hata mara 6 au hata zaidi - na hii inatokea huku yeye mwenyewe akishangaa hali hiyo iliyomtokea na wala hawezi kui-control iache?.

Yaani orgasm inamtokea for what will seem like forever, just building, building, building into a crescendo ambapo anakuwa absolute helpless na bado itaendela tu building-up.

Na baada ya kumaliza hiyo Full Body Orgasm hataweza kuongea, hawezi kusimama au yaani anakuwa kama amekuwa possesed.

Sasa hiyo ina formula .. na wala si lazima mpaka mwanamme amuingilie ... its just a formula sasa wewe unasema hakuna formula?!

Halafu hao watafiti unaowasema imewashangaza ni watafiti gani? ... yaaani hawajui kuwa mwanamke anapata Multiple powerfull orgasm ... Involuntary - kama hawajui hata hilo wanatafiti nini?

Ndugu kama hujui mambo usiseme hayapo!

Its just a formula

.
 
Back
Top Bottom