Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

Ukisikia utoto ndio huu,......wewe ndio mwenye tatizo la kutomfikisha mpenzi wako kileleni, halafu unarudi kisengerenyuma unajitoa unataka hili liwe tatizo la mtu mwingine!! hapa sijakuelewa.
Kuwa muwazi kama una hilo tatizo njoo on the spot eleza tatizo lako ili upewe ushauri ni nini unachotakiwa kufanya.ukisema utuulize sisi mimi mwenzako Namfikisha kileleni na namshusha na nampandisha tena kileleni, inshort mimi huwa naacha kazi nafanya kazi.

Tola! Unavyojinakshi mzee mwenyewe! Umeongea pweeint !
Bt reduce just a minor, hiyo Misifa! Duly Sykes ?
Misifa camp ?
 
Tola! Unavyojinakshi mzee mwenyewe! Umeongea pweeint !
Bt reduce just a minor, hiyo Misifa! Duly Sykes ?
Misifa camp ?
Siko kwenye umri wa Usharouharo, Mimi ni Matola na siyo Duly Sykes.
Ili neno Camp linawahusisha zaidi vijana wasiokuwa na shughuri za kufanya na badly hawaelewi hata wanachokifanya ni nini!! am out of this kind ofGroup ili kwenda kupunga upepo Beach basi lazima zichangishwe pesa mwezi mzima za kukodi coaster na kwenda kuvuta bangi ufukweni.
 
habari ya asubuhi mzee mwenzangu?
 
kwani unatatizo la kusimamisha?

mashine kama inafanya kazi ipo siku ataisikilizia ..

hapo kwenye kuridhishana ni kuwa mbunifU MAANA WEWE NDIYE UNAJUWA JINSI YA KUMUUWA HUYO PANYA NDANI MWAKO. UKITUELEZA SISI HATUJUWI KAJIFICHA KONA GANI OTHER WISE TURUHUSU NDANI MWAKO TUMTAFUTE HUYO MDUDU NAWE UNAWEZA MWONA NA KUPATA UJUZI WA KUMTAFUTA SISI TUKIONDIKA...
 
mwambie aende huko kwa wenzake wanakoridhishwa we dereva wa ka starlet unataka kujifanya msomali uendeshe mbaula utakufa bure tafuta kastarlet uendeshe kwa raha zako. Thn huyo mpenzi wako ni mshamba iwaje mambo ya rum ayapeleke kwa rafik zake?
 
hii issue inatakiwa iwe addressed one step at a time... una-point out upungufu katika kipengele kimoja, mnakifanyia kazi then unakwenda kipengele kingine; kushusha bombshell lote kwa wakati mmoja inaweza kuwa ngumu 'kumesa' na mkaishia kugombana
 
Jamani, si mpeni tuition tu? Awe yeye au mwinine sio hoja, issue ni kumfikisha mwenzio kileleni. Msijifanye hamjui, kwamba siku hizi wanaume wengi wanashindwa sio kufika kileleni tu, bali hata wao wenyewe wanatamani kufika lakini hawafiki kwa sababu wanagomewa na bwn mdogo ambaye anagoma kabisa kusogeza mguu na kuretreat. mavyakula yaliyochakachuliwa tunayokula yanasababisha yote haya, zamani za baba zetu hayakuwapo haya kwa sana, natural foods ziliwafanya wawe strong.
 
Naona opportunity ya training kwa wanandoa hapa, 'how to communicate with your partner without hurting their ego'
Dada inabidi urudi mkoleni!
 
Wana wa Bodi, kwa muda kitambo sasa nimekua nikiona hapa Jamvi, hapamaliziki mwezi ikiwa hapajaletwa zaidi ya moja, mada izungumziayo yanayohusiana na ufikaji wa kileleni (Mshindo).
Nimeshuhudia kuona hoja tofautitofauti, members wakilijadili kufuatana na upeo wa ufahamu toka kwa muelezaji .
Ikanipelekea nami nijifanyie utafiti wangu binafsi , natanguliza angalizo kwa kusema vyanzo (Sources) nilizozitumia katika reserch yangu si vyanzo vya kisayansi bali ni kupepeleza kwa udadisi toka mtu mmoja hadi mwingine.
Agenda kuu ni -
"jE ? NI KWELI % KUBWA YA WANAUME HAWAWAFIKISHI WAKE/WAPENZI WAO KUFIKIA MSHINDO ?"
% Kubwa ya majibu niliyoyapata toka kwa watu wazima hawa, ni kwamba si kweli kua % kubwa ya wanaume hawawakidhi kuwafikisha wapenzi wao kunako Peak , bali % kubwa ya wanaume hukidhi kuwafikisha wapenzi wao Peak ispokua % kubwa ya wanawake ndiyo hua ni wanafik kwa kutokukiri/kubali kusema ukweli (ama kwa aibu, utotoutoto au ndiyo silka yao ya kikekike)
kwa kutokua wawazi .
Aidha uchunguzi wangu unaonesha kua wala wengi wao hua hawana sababu za msingi kwa kutokua wawazi, anafikishwa Peak kwa ustadi kabisa, lakini akiulizwa anaweza akatae au akae kimya kabisa bila kutoa jibu .
Wadau wenza tujadili .
Ma- bi dada Jf hembu timbwirikeni tupate maono katika hili .
Hoja iko mezani .
 
Haya ni mambo ya kikubwa.. Thread ihamishwe kwanza.

Ohoo! Mai waif mambo ? Si uliniambia leo sa4 tu utakua ushalala ? Ni aje tena ?
Haya naunga mkono hoja , yaani wewe ukinirai unadhani jeuri ya kukuvunja ntaitoa wapi ?
Ilhali mie kwako kama kukufa juu yako hadi bungeni wanajua!
Kama kuoza ndiyo nilishaozaga zamanije !
Ihamishwe tu Mammiy !
Wambie basi dia alafu twen'zetu .
 
sijalala nakusubiri, halafu mchango wangu nitakuelezea chumbani maana jukwaa la wakubwa sina access.
 
sijalala nakusubiri, halafu mchango wangu nitakuelezea chumbani maana jukwaa la wakubwa sina access.

Hivi hii access ya jukwaa la wakubwa inapatikana vipi jameni, mbona sie wengine na midevu yetu tunaishia kuambiwa hatuna enough privilledge kujifunza yalo humo!!, msaada plz., n sorry mwenye thread kwa kwenda nje ya mada
 
Just wait nikiwa free midamida nitakupm nikupe roadmap .
 
Mimi ckubaliani na wewe kabisa et m/mke anafikishwa peak then hawi muwazi kusema!?
hiyo cyo kweli kwa m2 anayekupenda kwa dhati ukimfanyia ki2 kizuri lazma atakwambia na kukusifia..
Ni ukweli ucofichika kua wanawake wengi hua hawafiki the peak na hata wengine hupretend kua wamefika ili mrad wacwakwaze wapenz wao..
Swala la mwanamke kufika peak liko complicated sana ukicompare na m/ume coz hua linachangiwa na a lot of factors psychologicaly&physically..La mcngi w/ume jifunzeni jinc ya kuwaandaa wake/wapenz wenu theoreticaly & practicaly ili na wao wafaid!!
 
Back
Top Bottom