casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
Hahahaaa, hiyo ni khatwari kwelikweli Hajar, mimi nikikutana na vitu kama hivi hua namlaani sana sheitwani maana naona kama ananidolishia vileeππππSesten Zakazaka njoo huku na weye utuambie maana nyie huko ndio mnakutana na hivi vitu Daily.
Haya wewe huwa unafanyaje? ππ
Hahahaaaa. Kama kweli vileeee.Hahahaaa, hiyo ni khatwari kwelikweli Hajar, mimi nikikutana na vitu kama hivi hua namlaani sana sheitwani maana naona kama ananidolishia vileeππππ
Niini Sesten niiiniii [emoji12]Hajarπππ
Hahahaa ningekua karibu yako kofi lingenihusu ili niache kukata shingo eeh HajarππππNiini Sesten niiiniii [emoji12]
Kumbuka siku ile tunaongea kwenye simu ulistaajabu mpaka nikashangaa kukuuliza eti umemuona mdada anapita huku amejaaliwa lol.
Sijui kama pale ulikumbuka kumlaani huyo shetani Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani lingekuhusu kwa kweli maana utulivu ulikuwa zero. [emoji2] [emoji2]Hahahaa ningekua karibu yako kofi lingenihusu ili niache kukata shingo eeh Hajarππππ
Pale nilikua namshangaa shetani anavyo niringishia na kunidolishia hadi nikaweza kumdhibiti Hajarπππ
Ila shetani wa kwenye 'mafurushi' ya huko nyuma kwa wadada ananguvu sana ujue, inahitaji watu makini kama mie kumshindaπππππ
Hahahaaaa shetani yule pamoja na mbwembwe zake zote alidhibitiwa vilivyo HajarYaani lingekuhusu kwa kweli maana utulivu ulikuwa zero. [emoji2] [emoji2]
Hahaaaa. Kwa hali ile sijuuui kama ulimdhibiti[emoji12] [emoji12] Pia nimejikuta nawaza huo umakini tu Hajar mie. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya bana Sesten umeeleweka.Hahahaaaa shetani yule pamoja na mbwembwe zake zote alidhibitiwa vilivyo Hajar
Ondoa shaka na umakini, yaani ni asilimia mia miaka mia naneππππ
Karibu bibieπHaya bana Sesten umeeleweka.
Atakua msafwa au mnyakyusa...maana ndo wenye maumbo kama parachichiMie niko nyuma nahesabu midundo View attachment 830958
huo MTIHANI ... wa kuonesha kuwa ww ni LIJALI au PUNGA/HANITHI...Wakuu hii ishu mnaishughulikia vip? unakofolea tu macho makalio na kupata burudani? unajivunga na simu na kuangalia pembeni? vipi ukiwa na wife, unahandle vipi hii situation.View attachment 830916View attachment 830917