Mwanamke mwenye makalio makubwa anapokuwa mbele yako barabarani huwa unafanyaje?

Mwanamke mwenye makalio makubwa anapokuwa mbele yako barabarani huwa unafanyaje?

kama njia haina watu wengi naangalia kwa kuibia hadi nimpite, ila kukiwa na watu wengi kama k/koo naunga tela kwa nyuma.
 
Niini Sesten niiiniii [emoji12]

Kumbuka siku ile tunaongea kwenye simu ulistaajabu mpaka nikashangaa kukuuliza eti umemuona mdada anapita huku amejaaliwa lol.

Sijui kama pale ulikumbuka kumlaani huyo shetani Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaa ningekua karibu yako kofi lingenihusu ili niache kukata shingo eeh Hajar😛😛😛😛

Pale nilikua namshangaa shetani anavyo niringishia na kunidolishia hadi nikaweza kumdhibiti Hajar😎😎😎

Ila shetani wa kwenye 'mafurushi' ya huko nyuma kwa wadada ananguvu sana ujue, inahitaji watu makini kama mie kumshinda😉😉😉😉😉
 
Yaani lingekuhusu kwa kweli maana utulivu ulikuwa zero. [emoji2] [emoji2]

Hahaaaa. Kwa hali ile sijuuui kama ulimdhibiti[emoji12] [emoji12] Pia nimejikuta nawaza huo umakini tu Hajar mie. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaaa shetani yule pamoja na mbwembwe zake zote alidhibitiwa vilivyo Hajar

Ondoa shaka na umakini, yaani ni asilimia mia miaka mia nane😀😀😀😉
 
Mimi huwa hayanisumbui labda niamue kuelekeza akili huko ndo nitavutiwa ila nikipuuza namuona wa kawaida tu.
 
Wakuu hii ishu mnaishughulikia vip? unakofolea tu macho makalio na kupata burudani? unajivunga na simu na kuangalia pembeni? vipi ukiwa na wife, unahandle vipi hii situation.View attachment 830916View attachment 830917
huo MTIHANI ... wa kuonesha kuwa ww ni LIJALI au PUNGA/HANITHI...

haiwezekani lipite KARANDINGA,... alaf usigeuke... utakuwa na MATATIZO YA #PROBLEMS....haha
 
Back
Top Bottom