Mwanamke mwenye mdomo na hasira kukaa kwenye ndoa sahau

Mwanamke mwenye mdomo na hasira kukaa kwenye ndoa sahau

Tafiti kama Tafiti nyingine ausio!

Kuna wenye wako na tabia uzotaja hapo juu na wako kwa ndoa mbona!

Shortly hayanaga fomula


Cc Smart911
 
Pdidy, mbona huu mwandiko wako leo umenyooka sana, au kuna mtu kadukua simu yako.
 
Kuna wanawake wanamiliki hizo tabia zote ulizotaja na wameolewa na wanaishi vizuri Sana na na waume zao
 
MWANAMKE MWENYE TABIA HIZI NI NGUMU KUDUMU NAYE KWENYE MAHUSIANO.

1. Mwanamke mwenye mdomo, anaongea kuliko kawaida (umbea umbea)😇🫠😅

2. Anayeamini uchawi (ushirikina)😶‍🌫️☠️

3. Mwanamke anayependa hela 🫴
Mwanamke aliyeweka pesa mbele ni ngumu kudumu nae kwenye mahusiano

4. Mwanamke ambae mapenzi yake yako kwa baba yake.
Kila kitu....daddy, ukimuudhi kdg..daddy 👺

5. Mwanamke mlokole (hasa makanisa ya kiroho)🙈
Hawa heshima yao kubwa iko kwa viongozi wao wa dini, atasikilizwa mchungaji kuliko wewe 😃😃

6. Mwanamke anayependa kujirusha 💃
Anataka outing,kuparty ,viwanja vyoote anavijua mpk band anazijua

7. Mwanamke anayependa kushindana (Asiyepitwa)
Mwenzake kavaa wigi mpya na yeye anataka, simu mpya imetoka, anaitaka

8. Mwanamke asiyeridhika.
Haridhiki kwenye mapenzi, au hata kipato au pesa unazompatia.

All in all, mbaya kwako kwa mwingine ni mzuri.
Kila mtu na mtu wake, kwako anaweza akakuchanganya lkn kumbe kwa mwingine ndiye Mwanamke anayemtaka.
Hao wenye mdomo kama vyerehani vya Mwaijage ndio wanafaa kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom