Mwanamke mwenye njaa hafai kwa matumizi ya NDOA

Mwanamke mwenye njaa hafai kwa matumizi ya NDOA

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Hapa nataka kuongea na vijana wanao jipanga kuvuta majiko au walio vuta majiko mabovu.

Nikisema mwanamke mwenye njaa namaanisha mwanamke asie na kazi au mwanamke asie taka kujishughulisha. Haijalishi yupoje.

Ukifanikiwa kumuoa mwanamke mwenye njaa Basi tegemea majanga makubwa Sana ndani ya hiyo ndoa yako ikiwemo umasikini mkubwa Sana Kama atafanikiwa kukutawala.

Mwanamke mwenye njaa Hana shughuli ya kufanya hapa muda wake mwingi lazima atautumia kuwaza midinyo tu na mahitaji yake ya pesa yote atakuelekezea wewe na ukiteteleka tu kiuchumi watakutombea wenye nazo. Na mkeo hata Isha kuwashobokea wanaume wenye hela. Na Kama unajiweza kipesa mzee hapa lazima afanye juu chini akuweke Kati usije ukamuacha kinacho fuata hapa ni kuwekwa kwenye chupa ili aweze kukucontrol vizuri.

Kama mjuavyo "idle mind is the workshop of devil".

Hivi kichwa kisicho taka kujishughulisha na hesabu za hasara na faida, nifanye Nini kuongeza kipato Cha familia, niongezee nn kwenye biashara yangu, nimuombe kiasi gani mme anibust kwenye mtaji, .....nk hivi kichwa kisicho taka kufikiri hayo unadhani kitafikiri Nini.....?

Mwanamke mwenye njaa ukimpata kwa njaa zake jua umeoa njaa na akishiba akili zake zitamkaa sawa na kutafuta wa kufanana nae na kukuacha na njaa ulio mpendea.

Kuna utofauti mkubwa Sana Kati ya mwanamke mwenye njaa na Alie Shiba kwenye maamuzi yao wanapo ingia ndoani.

NB
Ni Bora ukamuoa mwanamke anae uza vitumbua mtaani maana anajitambua Ila kaamua kuuheshimu mwili wake maana angetaka kuishi kwa kudanga asinge shindwa maana mtaji ni mbunye tu na mbususu anayo kuliko hao unao waona wamependeza na hakuna kazi wanazo fanya.

Kazi kwenu
 
Demu aliyekaa tu ni kero Kwa kweli, mda wote anakupiga simu, hajui hata upo busy na kazi usipopokea ana nuna , Sare ya kwaya anakuomba wewe, mara kiatu, mara sijui nini na uchuro kibao , demu kama huyo kukuroga ni kugusa tuuu , piga chini, Bora uwe na single mother anayepata 200 , au 300 yake
 
Demu aliyekaa tu ni kero Kwa kweli, mda wote anakupiga simu , hajui hata upo busy na kazi usipopokea ana nuna , Sare ya kwaya anakuomba wewe , mara kiatu , mara sijui nini na uchuro kibao , demu kama huyo kukuroga ni kugusa tuuu , piga chini, Bora uwe na single mother anayepata 200 , au 300 yake
Mmeanza kuturudia tena[emoji18]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Demu aliyekaa tu ni kero Kwa kweli, mda wote anakupiga simu , hajui hata upo busy na kazi usipopokea ana nuna , Sare ya kwaya anakuomba wewe , mara kiatu , mara sijui nini na uchuro kibao , demu kama huyo kukuroga ni kugusa tuuu , piga chini, Bora uwe na single mother anayepata 200 , au 300 yake
Aisee kwa hiyo tuwawowe wakina to yeye
 
Hapa nataka kuongea na vijana wanao jipanga kuvuta majiko au walio vuta majiko mabovu.

Nikisema mwanamke mwenye njaa namaanisha mwanamke asie na kazi au mwanamke asie taka kujishughulisha.

Asee leo mmeamua kutunanga hivi [emoji28][emoji28][emoji28] nikilamba deal naanza na nyie [emoji35]
 
Imeandikwa

1 Petro 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu;
maana wao pia ni warithi wa neema ya uzima, ili maombi yenu yasizuiliwe na chochote.

1 Peter 3:7
Husbands, in the same way be considerate as you live with your wives, and treat them with respect as the weaker partner and as heirs with you of the gracious gift of life, so that nothing will hinder your prayers.
 
Demu aliyekaa tu ni kero Kwa kweli, mda wote anakupiga simu , hajui hata upo busy na kazi usipopokea ana nuna , Sare ya kwaya anakuomba wewe , mara kiatu , mara sijui nini na uchuro kibao , demu kama huyo kukuroga ni kugusa tuuu , piga chini, Bora uwe na single mother anayepata 200 , au 300 yake
Kwa kweli aisee
 
Je kama mwanamke ana njaa ila nyota yake inafanya mambo yako yaende sawa hapa imekaaje mkuu?
Kwenye nyota hapo hatuwezi elewana maana Kuna watu hawaamini katika nyota wanaamini uhalisia
 
Imeandikwa

1 Petro 3:7
Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu;
maana wao pia ni warithi wa neema ya uzima, ili maombi yenu yasizuiliwe na chochote.

1 Peter 3:7
Husbands, in the same way be considerate as you live with your wives, and treat them with respect as the weaker partner and as heirs with you of the gracious gift of life, so that nothing will hinder your prayers.
Nyie ndio mnao lemaza wanawake na wakisha lemaa kupitia kulemaaa kwao ili muendelee kuwakandamiza naa kuwatumia mtakavyo.
 
Kwa sisi mabaharia hao wasio na kazi ndiyo wakuoa sasa.Sifa yao kuu katika ndoa ni UVUMILI,WALEZI BORA WA WATOTO,WANYENYEKEVU SANA KWA WAME ZAO,NI WENYE HESHIMA KWA WAKWE ZAO.Aiseee!Wanawake hao mi uwezi nidanganya dhidi yao.

Hao wengine wenye kazi na pesa so wanawake wa kuolewa na wanaume maisha ya kawaida.Sifa zao kuu ni VIBURI,WABISHI NA WAJUAJI,SIYO WALEZI BORA WA WATOTO,WACHOYO NA UPENDELEA MAKWAO TU,WANA DHARAU SANA KWA MUME NA WAKWE ZAO PIA,NI WABINAFSI SANA.Yaani hawa ni wanawake pasua kichwa sana kwa waumeo zao.
 
Umenena aisee
 
Back
Top Bottom