Kwa sisi mabaharia hao wasio na kazi ndiyo wakuoa sasa.Sifa yao kuu katika ndoa ni UVUMILI,WALEZI BORA WA WATOTO,WANYENYEKEVU SANA KWA WAME ZAO,NI WENYE HESHIMA KWA WAKWE ZAO.Aiseee!Wanawake hao mi uwezi nidanganya dhidi yao.
Hao wengine wenye kazi na pesa so wanawake wa kuolewa na wanaume maisha ya kawaida.Sifa zao kuu ni VIBURI,WABISHI NA WAJUAJI,SIYO WALEZI BORA WA WATOTO,WACHOYO NA UPENDELEA MAKWAO TU,WANA DHARAU SANA KWA MUME NA WAKWE ZAO PIA,NI WABINAFSI SANA.Yaani hawa ni wanawake pasua kichwa sana kwa waumeo zao.