Mwanamke mwenye njaa hafai kwa matumizi ya NDOA

Ili ukalelewe?
 
Hapo kwenye msitar wa mwisho wanaume hamuuangaliagi ila ndo msitari wenye nguvu sana,unashangaa mambo yako hayaendi kumbe ni machoz ya mkeo
 
Hapo kwenye msitar wa mwisho wanaume hamuuangaliagi ila ndo msitari wenye nguvu sana,unashangaa mambo yako hayaendi kumbe ni machoz ya mkeo
Ukitaka kufanikiwa ni lazima umuheshimu mke wako, ni kweli wengi hawajali - mkeo akitoka machozi ya uchungu kwa namna umtendanvyo ndugu yangu - you have to pay it trust me.
 
Hao wapambanaji huwa wanapambania utawala ndani ya nyumba.
 
Ndoa haina formular, kila mtu ana aina ya mtu anayemtarajia
 
Hapo nimezungumza kwa wanawake wanao jishughulisha tu. Automatically mwanamke akijishughulisha hayo yote utayapata
 
ukitaka kufanikiwa ni lazima umuheshimu mke wako, ni kweli wengi hawajali - mkeo akitoka machozi ya uchungu kwa namna umtendanvyo ndugu yangu - you have to pay it trust me.
Acha uongo na ujinga ....Hawa wanaume walio fanikiwa wakiwa hawajaoa imekuaje....?

[emoji38][emoji38][emoji38] Bro inavyo onesha wanawake wamekufunga ipasavyo maana akili zako zote zipo kwao
 
Hao wapambanaji huwa wanapambania utawala ndani ya nyumba.
Sasa mzee Hawa wamama wanao pambana na vibiashara vidogovidogo wanapambania utawala gani mkuu........?
 
Ndoa haina formular, kila mtu ana aina ya mtu anayemtarajia
Basi kaolewe na mwanaume masikini asie na hela na dushe lake halina nguvu dk 0 tu chali... Ili niamini kweli ndoa Haina formula.
 
Acha uongo na ujinga ....Hawa wanaume walio fanikiwa wakiwa hawajaoa imekuaje....?

[emoji38][emoji38][emoji38] Bro inavyo onesha wanawake wamekufunga ipasavyo maana akili zako zote zipo kwao
Sawa ndugu, fanya unaloamini wewe - oa mke then mkimbie yeye na watoto wako - kaishi nyumba ndogo afu utaona kitakachotokea kabla hujafa.
 
Mbona ghafla sana jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao wanaojishughulisha mbona Njaa zao ndio Kali siku Hizi au macho yangu Tu.
 
Mzee mwenzangu yamekukuta nini.
Ukikosea kuoa unakua mshauri wa ndoa.
 
Kuoa Hakuna garantii Sana binadamu ni flexibility ubadilika badilika hata ukioa malaika anaweza geuka shetani.
Hata hao wenye pesa bila pesa watakusumbua,
We tafuta pesa.
 
sawa ndugu, fanya unaloamini wewe - oa mke then mkimbie yeye na watoto wako - kaishi nyumba ndogo afu utaona kitakachotokea kabla hujafa.
Bro hapa tunaongelea wanawake wa kuwaoa sio kutelekeza familia isio na hatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…