Mwanamke mwenye njaa hafai kwa matumizi ya NDOA

Mnatuchanganya sasa jmn, tulijishughulisha mnasema tunawadharau [emoji23]
 
Mkuu tafuta pesa umfungulie mkeo duka aingize pesa bila kutoa jasho ili aendelee kuwa pambo la nyumba unataka afanye kazi juani achakae umkimbie??
Kwa Kichwa ambacho hakijui kujituma hizo hela bora uweke bili ya supu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…