Mwanamke mwenye sifa hizi Mumeo nakutafuta

Mwanamke mwenye sifa hizi Mumeo nakutafuta

babajeska

Senior Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
148
Reaction score
182
Uwe na umri wa miaka 25-30
Elimu:diploma au degree
Makazi😛opote Tanzania
Kabila:lolote ISIPOKUWA MMACHAME.
Kazi:kama huna ajira hakuna shida
Mzuri na mwenye umbo zuri.

MIMI NILIVYO
Kabila:Msukuma
Mrefu kiasi
Elimu - masters
Mfanyabiashara
Naishi dar es salaam

karibu dm
 
Wasukuma mkifika Huku jijini mnasumbua kishenzi!
Eti awe na diploma au degree! [emoji23]
Hiyo ni level ya kawaida sana kwa hali ya sasa ya utitili wa vyuo.
 
Uwe na umri wa miaka 25-30
Elimu:diploma au degree
Makazi😛opote Tanzania
Kabila[emoji38]ote ISIPOKUWA MMACHAME.
Kazi:kama huna ajira hakuna shida
Mzuri na mwenye umbo zuri.

MIMI NILIVYO
Kabila:Msukuma
Mrefu kiasi
Elimu - masters
Mfanyabiashara
Naishi dar es salaam

karibu dm
Kuna jirani yangu Mwanadada huyu ana mchumba ni msukuma bado hawajaoana ila wanaishi pamoja

Yaani saa 10 usiku unaskia tu
Utaniua

Yaani wasukuma kwa kupiga wake aisee mpunguze
 
Tatizo hilo kabila .....hamchelewi kua na tabia kama za jiwe
 
[QUOTEeshchriss, post: 27846325, member: 430574"]Tatizo hilo kabila .....hamchelewi kua na tabia kama za jiwe[/QUOTE]
Mmmmh sio wotee bwanaaa MBNA wengin wpo kweny ndoa zao mpk sasa sema mmekariri jmniiiii
 
Tatizo hilo kabila .....hamchelewi kua na tabia kama za jiwe
Hawa inabidi tuwazuie kabisa kuja mjini Maana hawakawii kuingia kwenye siasa Mara waje waseme wamesukumizwa kugombea urais wakatusababishia matatizo kama ya sasa hivi!
[emoji23]
 
Ina maana kabila lenu ni madomo zege kiasi hicho mpaka uje kutafuta demu huku?
 
mkuu mmachame akijitokeza kwa bahati mbaya huko pm, naomba nipasie..
 
Hawa inabidi tuwazuie kabisa kuja mjini Maana hawakawii kuingia kwenye siasa Mara waje waseme wamesukumizwa kugombea urais wakatusababishia matatizo kama ya sasa hivi!
[emoji23]
😝
 
Back
Top Bottom