The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mpambanaji haramuAisee,huyu ndo wakuoa sasa,mwanamke mpambanaji sana huyu
Kwa ufahamu wangu mdogo; Kuna maeneo ili upite ni lazima ufanyiwe ukaguzi, wanakupitisha sensors flani hivi ambazo ni maalumu kwa detection ya Madawa.Hivi madawa unayafichaje sana hivyo kwan Yana harufu kwamba utanaswa ukiweka kwenye pochi
Mbwa wananusa hata kama umeweka kwenye begi. Ila huyu huenda kuna mtu kamlengesha. BTW wafungwa huwa wanasunda hizi simu ndogo sehemu za nyuma na kuingiza jelaHivi madawa unayafichaje sana hivyo kwan Yana harufu kwamba utanaswa ukiweka kwenye pochi
Ndani ya nchi, kusafirisha madawa sehemu moja kwenda nyingine siyo risk sana unless kama unajulikana au kuna watu wamekuchoma. Kuna njia nyinge unaweza kutumia hasa kama unajua sehemu waliyoweka kizuizi.Kwa ufahamu wangu mdogo; Kuna maeneo ili upite ni lazima ufanyiwe ukaguzi, wanakupitisha sensors flani hivi ambazo ni maalumu kwa detection ya Madawa.
Kama umeficha mwilini mwako au kwenye begi lako hizo sensor zinatoa taarifa.
Hapo ni kwisha habari yako.
Ajali kazini.....mchongo umesanuka.Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kukutwa na takriban gramu 300 za dawa za kulevya aina ya cocaine, kufuatia msako wa pamoja wa vyombo vya usalama nchini Kenya, uliolenga njia zinazotumiwa kusafirisha mihadarati kutoka maeneo ya kaskazini mwa Kenya kuelekea jijini Nairobi.
Jane Njeri Muigai alikamatwa katika kizuizi cha barabarani kwenye barabara ya Moyale-Nairobi baada ya basi moja lililokuwa likielekea Nairobi kusimamishwa kwa ukaguzi wa kawaida.
Kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), mienendo ya mshukiwa huyo iliibua wasiwasi, na ndipo maafisa wa kike wakamwondoa kwenye basi kwa ukaguzi wa kina wa mwili.
Katika upekuzi huo, maafisa waligundua kuwa Muigai alikuwa ameficha gramu 294 za cocaine sehemu za siri za mwili wake kwa ustadi mkubwa.
Kwa sasa anashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Moyale akisubiri kufikishwa mahakamani, huku maafisa wa kitengo cha kupambana na dawa za kulevya wakiendelea na maandalizi ya mashitaka.
Mamlaka zimeeleza kwa mara nyingine dhamira yao ya kuvunja mitandao ya usafirishaji wa mihadarati, hasa ile inayotumia ukanda wa Northern Frontier kama njia ya kuingiza dawa hizo katika mji wa Nairobi.View attachment 3309145
Hapo nimekuelewa.Ndani ya nchi, kusafirisha madawa sehemu moja kwenda nyingine siyo risk sana unless kama unajulikana au kuna watu wamekuchoma. Kuna njia nyinge unaweza kutumia hasa kama unajua sehemu waliyoweka kizuizi.
Fikiria hiyo K ilivyo kubwa. Mi nilishaibiwa kisimu kile cha Zain, aliizamisha ndani ya K, nilikagua kila sehemu akiwa hana ht chupi. Chezea mwanamke wewe?Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kukutwa na takriban gramu 300 za dawa za kulevya aina ya cocaine, kufuatia msako wa pamoja wa vyombo vya usalama nchini Kenya, uliolenga njia zinazotumiwa kusafirisha mihadarati kutoka maeneo ya kaskazini mwa Kenya kuelekea jijini Nairobi.