gramu 300 sio mchezoKaizamisha kwa '...USTADI MKUBWA...'. Walmhisi kwa miondoko yake...!
Hicho kifurishi nacho kilikuwa KIKUBWA SANA AISE...
Majuzi mamlaka za kenya zili discover viwanda vidogo vya kuzalisha madawa kama border ya tz na kenya, na mfadhili mkuu ni new generation jalisco cartel (CJNG) Ya mexico.Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kukutwa na takriban gramu 300 za dawa za kulevya aina ya cocaine, kufuatia msako wa pamoja wa vyombo vya usalama nchini Kenya, uliolenga njia zinazotumiwa kusafirisha mihadarati kutoka maeneo ya kaskazini mwa Kenya kuelekea jijini Nairobi.
Jane Njeri Muigai alikamatwa katika kizuizi cha barabarani kwenye barabara ya Moyale-Nairobi baada ya basi moja lililokuwa likielekea Nairobi kusimamishwa kwa ukaguzi wa kawaida.
Kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), mienendo ya mshukiwa huyo iliibua wasiwasi, na ndipo maafisa wa kike wakamwondoa kwenye basi kwa ukaguzi wa kina wa mwili.
Katika upekuzi huo, maafisa waligundua kuwa Muigai alikuwa ameficha gramu 294 za cocaine sehemu za siri za mwili wake kwa ustadi mkubwa.
Kwa sasa anashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Moyale akisubiri kufikishwa mahakamani, huku maafisa wa kitengo cha kupambana na dawa za kulevya wakiendelea na maandalizi ya mashitaka.
Mamlaka zimeeleza kwa mara nyingine dhamira yao ya kuvunja mitandao ya usafirishaji wa mihadarati, hasa ile inayotumia ukanda wa Northern Frontier kama njia ya kuingiza dawa hizo katika mji wa Nairobi.View attachment 3309145
Si kila wakati wanachomesh2wa, serikal nauo wanajifunza kila wakati wana upgrade maarifa, lakini pia wanashare taarifa na mataifa mengine dunian, so vyombo vinakuwa awareIla hapo ni wazi kachomeshwa
Una maanisha ukubwa wa hilo dude aliloshikilia ulikuwa umemezwa woooote?Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kukutwa na takriban gramu 300 za dawa za kulevya aina ya cocaine, kufuatia msako wa pamoja wa vyombo vya usalama nchini Kenya, uliolenga njia zinazotumiwa kusafirisha mihadarati kutoka maeneo ya kaskazini mwa Kenya kuelekea jijini Nairobi.
Jane Njeri Muigai alikamatwa katika kizuizi cha barabarani kwenye barabara ya Moyale-Nairobi baada ya basi moja lililokuwa likielekea Nairobi kusimamishwa kwa ukaguzi wa kawaida.
Kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), mienendo ya mshukiwa huyo iliibua wasiwasi, na ndipo maafisa wa kike wakamwondoa kwenye basi kwa ukaguzi wa kina wa mwili.
Katika upekuzi huo, maafisa waligundua kuwa Muigai alikuwa ameficha gramu 294 za cocaine sehemu za siri za mwili wake kwa ustadi mkubwa.
Kwa sasa anashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Moyale akisubiri kufikishwa mahakamani, huku maafisa wa kitengo cha kupambana na dawa za kulevya wakiendelea na maandalizi ya mashitaka.
Mamlaka zimeeleza kwa mara nyingine dhamira yao ya kuvunja mitandao ya usafirishaji wa mihadarati, hasa ile inayotumia ukanda wa Northern Frontier kama njia ya kuingiza dawa hizo katika mji wa Nairobi.View attachment 3309145
Ukaguzi wa mabasi barabarani hakuna hizo sensor. Hapo machale yaliwacheza polisi au walikuwa taarifa fiche.Kwa ufahamu wangu mdogo; Kuna maeneo ili upite ni lazima ufanyiwe ukaguzi, wanakupitisha sensors flani hivi ambazo ni maalumu kwa detection ya Madawa.
Kama umeficha mwilini mwako au kwenye begi lako hizo sensor zinatoa taarifa.
Hapo ni kwisha habari yako.
Hata rais wako anapiga dili haramuMpambanaji haramu
Haramu wapi,kazi ni kazi tu mkuuMpambanaji haramu
Kabisa kuliko umaskini bora ufie mzigoni ukipambanaHaramu wapi,kazi ni kazi tu mkuu
Kabisa,na hizo ndo mishe sasaKabisa kuliko umaskini bora ufie mzigoni ukipambana
Kabisa watu wanafikiri hao matajiri wanawaona huko mjini wanauza mayai ya kuchemsha na nguo za mitumba.Kabisa,na hizo ndo mishe sasa
We ni msukuma?Hivi madawa unayafichaje sana hivyo kwan Yana harufu kwamba utanaswa ukiweka kwenye pochi
Nimekuja mbio nikidhani mdada ana jina la ki kobaaz, kumbe mgalatia mwenzetu nikawa mpole.Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kukutwa na takriban gramu 300 za dawa za kulevya aina ya cocaine, kufuatia msako wa pamoja wa vyombo vya usalama nchini Kenya, uliolenga njia zinazotumiwa kusafirisha mihadarati kutoka maeneo ya kaskazini mwa Kenya kuelekea jijini Nairobi.
Jane Njeri Muigai alikamatwa katika kizuizi cha barabarani kwenye barabara ya Moyale-Nairobi baada ya basi moja lililokuwa likielekea Nairobi kusimamishwa kwa ukaguzi wa kawaida.
Kwa mujibu wa taarifa ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), mienendo ya mshukiwa huyo iliibua wasiwasi, na ndipo maafisa wa kike wakamwondoa kwenye basi kwa ukaguzi wa kina wa mwili.
Katika upekuzi huo, maafisa waligundua kuwa Muigai alikuwa ameficha gramu 294 za cocaine sehemu za siri za mwili wake kwa ustadi mkubwa.
Kwa sasa anashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Moyale akisubiri kufikishwa mahakamani, huku maafisa wa kitengo cha kupambana na dawa za kulevya wakiendelea na maandalizi ya mashitaka.
Mamlaka zimeeleza kwa mara nyingine dhamira yao ya kuvunja mitandao ya usafirishaji wa mihadarati, hasa ile inayotumia ukanda wa Northern Frontier kama njia ya kuingiza dawa hizo katika mji wa Nairobi.View attachment 3309145
Ushaanza zako🤣🤣Nimekuja mbio nikidhani mdada ana jina la ki kobaaz, kumbe mgalatia mwenzetu nikawa mpole.
Ila Sisi wagalatia Kwa kuiga Tu biashara za wengine.
hydroxo Mufti kuku The Infinity gallow bird Tanganian (accumen mo)
Nyau de adriz
Eng Hersi rais wa yanga ndo rais wake?Hata rais wako anapiga dili haramu
Tulia weweeEng Hersi rais wa yanga ndo rais wake?
Pale mtu wako wa karibu atakapokuwa mrqibu wa madawa ndio utajua kazi ni kazi au kuna kazi haramu.Haramu wapi,kazi ni kazi tu mkuu
Pale mamlaka zitakapokudaka ndo utaelewa kama ni haramu au kazi ni kaziHaramu wapi,kazi ni kazi tu mkuu