Mwanamke mwenye umri wa miaka 28 anaswa akiwa ameficha dawa za kulevya gramu 300 sehemu za siri

Kaizamisha kwa '...USTADI MKUBWA...'. Walmhisi kwa miondoko yake...!
Hicho kifurishi nacho kilikuwa KIKUBWA SANA AISE...
 
Majuzi mamlaka za kenya zili discover viwanda vidogo vya kuzalisha madawa kama border ya tz na kenya, na mfadhili mkuu ni new generation jalisco cartel (CJNG) Ya mexico.

Watz hawanpay attention, hakuna hata chombo cha habari cha tanzania kili report hilo jambo
 
Una maanisha ukubwa wa hilo dude aliloshikilia ulikuwa umemezwa woooote?
 
Ukaguzi wa mabasi barabarani hakuna hizo sensor. Hapo machale yaliwacheza polisi au walikuwa taarifa fiche.
 
Nimekuja mbio nikidhani mdada ana jina la ki kobaaz, kumbe mgalatia mwenzetu nikawa mpole.

Ila Sisi wagalatia Kwa kuiga Tu biashara za wengine.

hydroxo Mufti kuku The Infinity gallow bird Tanganian (accumen mo)

Nyau de adriz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…