Mwanamke mwenye uso wa kimakonde asuke mtindo gani?

Kuna bibie ana uso na mwonekano wa kimakonde, asuke mtindo gani ili apendeze?
Uso wa kimakonde ni kama Harmonize, halafu awe mwanamke.

Asuke kama Harmo
 
Ni jambo serious mkuu, bibie anataka apendeze msimu huu wa sikukuu.
Mwanzo alisuka mtindo wa vitunguu, alikuwa mmakonde mara mbili.
Nataka walau awe na mwonekano wa uchagani au hata mwonekano wa kipwani pwani hivi!
Mwonekano wa uchagani kifuani na miguuni au kichwani tu
 
Kuna bibie ana uso na mwonekano wa kimakonde, asuke mtindo gani ili apendeze?
Uso wa kimakonde ni kama Harmonize, halafu awe mwanamke.
Anyoe tu [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Picha ya uso wa kimakonde tafadhali.

Huu uzi haina picha basi ni batili
 
Kuna bibie ana uso na mwonekano wa kimakonde, asuke mtindo gani ili apendeze?
Uso wa kimakonde ni kama Harmonize, halafu awe mwanamke.
Yaw yaw... My bebi tomato switi laka mangoooo ooooo .. kutwa nipo macho I wan bi ya jangoooo ooh..

Shido shido shidowaaaa shidowan nobareeee .. koh koh koh koh
 
Mwonekano wa uchagani kifuani na miguuni au kichwani tu
Huyu Bidada mwonekano wa chini anajitosheleza kwakweli mashaallah.
Changamoto ni uso wake, kama Harmonize.
napata sana changamoto kwakweli.
 
Abee🤣🤣
Leo mkesha au unaenda kesho asubh
Dilemma mpaka dk hii

Ila ya usiku uwa inanoga + na wale wanaofunga ndoa, kwaya ikiimba na ile I Love You inakuwaga moto

Mshauri mtoa mada uso wa kimakonde asukeje 🤣🤣
 
Asuke ile style iliyokuvutia hata ukamtongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…