Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Yaani nacheka hapa hiyo mada🤣🤣🤣Dilemma mpaka dk hii
Ila ya usiku uwa inanoga + na wale wanaofunga ndoa, kwaya ikiimba na ile I Love You inakuwaga moto
Mshauri mtoa mada uso wa kimakonde asukeje 🤣🤣
Asuke tu ile misuko ya kama ndugu yake Harmo😂