Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,229 Reaction score 50,144 Apr 16, 2022 #21 Depal said: Dilemma mpaka dk hii Ila ya usiku uwa inanoga + na wale wanaofunga ndoa, kwaya ikiimba na ile I Love You inakuwaga moto Mshauri mtoa mada uso wa kimakonde asukeje 🤣🤣 Click to expand... Yaani nacheka hapa hiyo mada🤣🤣🤣 Asuke tu ile misuko ya kama ndugu yake Harmo😂
Depal said: Dilemma mpaka dk hii Ila ya usiku uwa inanoga + na wale wanaofunga ndoa, kwaya ikiimba na ile I Love You inakuwaga moto Mshauri mtoa mada uso wa kimakonde asukeje 🤣🤣 Click to expand... Yaani nacheka hapa hiyo mada🤣🤣🤣 Asuke tu ile misuko ya kama ndugu yake Harmo😂
Daz911 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2018 Posts 742 Reaction score 1,238 Apr 16, 2022 #22 aise said: Kuna bibie ana uso na mwonekano wa kimakonde, asuke mtindo gani ili apendeze? Uso wa kimakonde ni kama Harmonize, halafu awe mwanamke. Click to expand... Attach picha mkuu, ila hide macho na mdomo
aise said: Kuna bibie ana uso na mwonekano wa kimakonde, asuke mtindo gani ili apendeze? Uso wa kimakonde ni kama Harmonize, halafu awe mwanamke. Click to expand... Attach picha mkuu, ila hide macho na mdomo
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 5,175 Reaction score 16,488 Apr 16, 2022 Thread starter #23 Sky Eclat said: Asuke ile style iliyokuvutia hata ukamtongoza. Click to expand... Wakati nampenda alikuwa ananyoa nywele kama wasabato. Nilimpenda hivyo, na alipendeza sana. Changamoto imekuja anataka asuke!
Sky Eclat said: Asuke ile style iliyokuvutia hata ukamtongoza. Click to expand... Wakati nampenda alikuwa ananyoa nywele kama wasabato. Nilimpenda hivyo, na alipendeza sana. Changamoto imekuja anataka asuke!
T14 Armata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 12,362 Reaction score 41,886 Apr 16, 2022 #24 Ondoa huyo wa kati. Hao wanaobaki nadhani ndio hao
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Apr 17, 2022 #25 Hahahaa! Lol. Nadhani ye aende saluni halafu msusi ndo aangalie huo uso wake unapendezwa na msuko wa aina gani.
Hahahaa! Lol. Nadhani ye aende saluni halafu msusi ndo aangalie huo uso wake unapendezwa na msuko wa aina gani.