Mwanamke mwenye zaidi ya miaka 35

Mwanamke mwenye zaidi ya miaka 35

Mie kwa uelewa wangu unahitaji kupanua wigo na marafiki wa wanawake wa miaka 35 na kuendelea. Lakini kuna faida na hasara. Faida ni kwamba mipango yako itaenda vyema. Lakini ukifanikiwa wewe katika maisha yako utakuja na kusema "SITAKI MWANAMKE WA MIAKA 35 NA KUENDELEA..."
Kaka FRANCIS njia moja wapo ya kupata kazi jiangalie upo katika Faculty gani? Na ongeza ku compete na watu wengne hapo chuo ili GPA iwe yakuwafanya watu wakupe kazi fasta. Mie nimepata kazi lakini jitahidi upate kazi.

ukubwa GPA unasaidia lakn kufahamina na watu kunasaidia zaidi. Wapo weny GPA kubwa hawajaajiriwa afu wenye GPA ndogo wameajiriwa
 
Makubwa.... Huyu mwanamke anayetafutwa itakuwa ni kwa ajili ya issue nyingine zilizojificha...
Ushauri: Maliza shule, tafuta ajira, ukikosa jiajiri usitutegemee sisi wamama ........
 
Jimama ni mwanamke anayeweza kukuzaa, na mara nyng mtu kufkia hatua kuitwa jimama manake hajiheshimu. Kwa anayejiheshimu huitwa mama.
Kwa kuwa kigezo kikuu ulichokiweka awali ni umri,basi waweza kujipatia jimama au mama itategemea na bahati yako!
 
yoooooooo,nishangae kihaya mie wewe una umri gani?
 
Siku zote mwanaume ni lazima ugangamae. Hizi tabia unazoonyesha za kutaka kuonewa onewa huruma siyo za kiume!!
Hebu acha kutuaibisha wanaume wenzako!!

DUNIA nzima hakuna asiyependa kuhurumiwa awe mwanaume, mwanamke au transexual. So usijikute kwamba we mwanaume sana kuliko wengine.
 
Makubwa.... Huyu mwanamke anayetafutwa itakuwa ni kwa ajili ya issue nyingine zilizojificha...
Ushauri: Maliza shule, tafuta ajira, ukikosa jiajiri usitutegemee sisi wamama ........

Hayo ni mawazo finyu, kila kitu kipo wazi kama nilivyokieleza. Sasa usinilazimishie mawazo tafadhali jiheshm.
 
Back
Top Bottom