Mwanamke mwenye zaidi ya miaka 35


ukubwa GPA unasaidia lakn kufahamina na watu kunasaidia zaidi. Wapo weny GPA kubwa hawajaajiriwa afu wenye GPA ndogo wameajiriwa
 
Makubwa.... Huyu mwanamke anayetafutwa itakuwa ni kwa ajili ya issue nyingine zilizojificha...
Ushauri: Maliza shule, tafuta ajira, ukikosa jiajiri usitutegemee sisi wamama ........
 
Jimama ni mwanamke anayeweza kukuzaa, na mara nyng mtu kufkia hatua kuitwa jimama manake hajiheshimu. Kwa anayejiheshimu huitwa mama.
Kwa kuwa kigezo kikuu ulichokiweka awali ni umri,basi waweza kujipatia jimama au mama itategemea na bahati yako!
 
yoooooooo,nishangae kihaya mie wewe una umri gani?
 
Siku zote mwanaume ni lazima ugangamae. Hizi tabia unazoonyesha za kutaka kuonewa onewa huruma siyo za kiume!!
Hebu acha kutuaibisha wanaume wenzako!!

DUNIA nzima hakuna asiyependa kuhurumiwa awe mwanaume, mwanamke au transexual. So usijikute kwamba we mwanaume sana kuliko wengine.
 
Makubwa.... Huyu mwanamke anayetafutwa itakuwa ni kwa ajili ya issue nyingine zilizojificha...
Ushauri: Maliza shule, tafuta ajira, ukikosa jiajiri usitutegemee sisi wamama ........

Hayo ni mawazo finyu, kila kitu kipo wazi kama nilivyokieleza. Sasa usinilazimishie mawazo tafadhali jiheshm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…