Kiplayer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,180
- 1,964
Huwa nawaza, Mimi mke wangu mzuri lakini kuna wake wa jamaa zangu nao ni wakali sasa navyowatamani utadhani mke wangu havutii. Najiuliza je wakulungwa ambao hawafahamu kama mwanamke mzuri kaolewa wanamtongoza mara ngapi na anakwepa vishawishi mara ngapi?
Wengine wanaenda hadi kwa waganga Ili ampate mwanamke mzuri. Wengine Wana mkwanja wa kuzidi, mtoto wa kike akiruka viunzi vyote hivyo apewe tuzo.
Wengine wanaenda hadi kwa waganga Ili ampate mwanamke mzuri. Wengine Wana mkwanja wa kuzidi, mtoto wa kike akiruka viunzi vyote hivyo apewe tuzo.