Mwanamke mzuri kuwa mwaminifu ni mtihani

mwanamke mzuri ni kujitafutia kufa mapema.

na vitu vitakavo kufanya kufa mapema
-mawazo ya kujua yupo nani
-kumchunga sana
-kutafuta pesa kwa nguvu ili kubaki kwenye imaya yako
-mda mwingi wa romantic na care ya PGO
Oa mke wa kawaida,hao wazuri unawabonyeza mdogo mdogo huko kitaa.
 
Mkiambiwa muoe toto nzuri mnajibaraguza ona sasa unavyoweweseka, poule kaka baki na chaguo lako
Nataka nimwache ili nibebe toto Noelia. Una hamasa mtoto mzuri?
 
Huwa nawaza, Mimi mke wangu mzuri lakini kuna wake wa jamaa zangu nao ni wakali sasa navyowatamani utadhani mke wangu havutii. Najiuliza je wakulungwa ambao hawafahamu kama mwanamke mzuri kaolewa wanamtongoza mara ngapi na anakwepa vishawishi mara ngapi?

Wengine wanaenda hadi kwa waganga Ili ampate mwanamke mzuri. Wengine Wana mkwanja wa kuzidi, mtoto wa kike akiruka viunzi vyote hivyo apewe tuzo.
Na wengine wanatembea na chumvi tayari kula mademu na wake za watu
 
Huwa nawaza, Mimi mke wangu mzuri lakini kuna wake wa jamaa zangu nao ni wakali sasa navyowatamani utadhani mke wangu havutii. Najiuliza je wakulungwa ambao hawafahamu kama mwanamke mzuri kaolewa wanamtongoza mara ngapi na anakwepa vishawishi mara ngapi?

Wengine wanaenda hadi kwa waganga Ili ampate mwanamke mzuri. Wengine Wana mkwanja wa kuzidi, mtoto wa kike akiruka viunzi vyote hivyo apewe tuzo.
Jitahidi na umwambie afanye ila isijulikane...utaishi kwa amani
 
Na mke wa mtoa mada Ni guluguja ndo maana anatolea udenda wake wa rafiki zake
Mkuu naomba nikuoe kama bado, ili na mimi nije nikuanzishie uzi hapa wa "Naombeni msaada, mke wangu ni Guluguja"
 
Wanaume hudanganyika sana na muonekano hata hawa wanawake mnaowaona wakawaida wengine ni malaya wakutupa tena ukimona hata hutadhani .Usijaji muonekano wa mtu utakuja kujuta ukija kugundua siyo
 
Wa hivi huwa mnakuwa MAGULUGUJA [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba unazunguka kijanja ili nithibitishe😅😅😅 ndg mi kuwa guluguja haihusiani na wewe kuoa pasikali hlf humu unajishaua una pisikali,
 
Kwamba unazunguka kijanja ili nithibitishe[emoji28][emoji28][emoji28] ndg mi kuwa guluguja haihusiani na wewe kuoa pasikali hlf humu unajishaua una pisikali,
Ungekuwa unamfahamu angalau, anyway nahisi una msongo wa mawazo unaohusiana na haya mambo. Tulia yatapita!
 
Mwenye msongo wa mawazo Ni wewe unaehangaika kuelezea mambo yako na mkeo humu,
 
Huwa nawaza, Mimi mke wangu mzuri lakini kuna wake wa jamaa zangu nao ni wakali sasa navyowatamani utadhani mke wangu havutii. Najiuliza je wakulungwa ambao hawafahamu kama mwanamke mzuri kaolewa wanamtongoza mara ngapi na anakwepa vishawishi mara ngapi?

Wengine wanaenda hadi kwa waganga Ili ampate mwanamke mzuri. Wengine Wana mkwanja wa kuzidi, mtoto wa kike akiruka viunzi vyote hivyo apewe tuzo.
Naam
 
Back
Top Bottom