Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
wakati unaendelea kujipanga KATAA NGONO[EMOJI23]Ndio bado tunajipanga sasa
Aisee sawaInabidi uvue shati utuwakilishe kwa kuandamana hapo mjini
Lengo la nini πndo lengo lako kuleta huu uzi!! [emoji38][emoji38][emoji38]
Nchi inauzwa nyie mnakalia mapenzi acheni uzwazwa..[emoji23]
Dada sina sasa πππKwani huyo ni dada yako?
kwani unafikiri hakuelewa mada? Hapo kashakutukana ndgKwenye mapenzi ni yupi?
Tatizo tupo huku kambini, familia unaiacha mbali; hapo inakuwaje sasa?tafta tu mmoja anaekupenda jinsi ulivyo.... baki njia kuu
yaani huogopi kupangwa uwe 1/10Kwanini niwaogope sasa
soma bibiliaTatizo tupo huku kambini, familia unaiacha mbali; hapo inakuwaje sasa?
Ahahaha kumbe uko kambini....πππππππTatizo tupo huku kambini, familia unaiacha mbali; hapo inakuwaje sasa?
Mtungo au πππyaani huogopi kupangwa uwe 1/10
taja jina la kambi huwenda ukawa member jf na kambini[emoji41]Tatizo tupo huku kambini, familia unaiacha mbali; hapo inakuwaje sasa?
Nimekuchagua wewe πBora umenisaidia atulie tu π
Alafu mnazi ukisimama, niufanyeje?wakati unaendelea kujipanga KATAA NGONO[EMOJI23]
mtungo ndo nini hiyo....Mtungo au πππ
kumbe bibilia! Mimi nilifikiri biblia[emoji23]soma bibilia
Huo ndio uzalendo, lini utaandamana πAisee sawa
wambie bado unajipangaAlafu mnazi ukisimama, niufanyeje?
Haya nijibuMwanamke gani tulia na mkewako hayo maswali waliosingle ndo waulizeπ