Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kmmk, hiyo avatar Ina onyesha uhalisia was bangi zako🙄🤔🤔nakataa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kmmk, hiyo avatar Ina onyesha uhalisia was bangi zako🙄🤔🤔nakataa....
Ila JF kuna uphaller mwingi 😂😂tatizo huhudhurii vikao, tulishasema hela haitumwi tena, inafuatwa geto.... hii ndo njia sahihi
bangi inaleta peace of mind.... try itKmmk, hiyo avatar Ina onyesha uhalisia was bangi zako🙄🤔🤔
sasa vijana wanalalamika pesa ikishatumwa tu namba haipatikani tena, meseji hazijibiwi.... ndo tukafikia uamuzi huoIla JF kuna uphaller mwingi 😂😂
Kwa hiyo mnatutenga sie wenye wake, uliambiwa ndio mwisho wetu wa kula vitu vizuri eeenh?😁😁Mwanamke gani tulia na mkewako hayo maswali waliosingle ndo waulize😀
Hebu tuwadediketie kawimbo wanaotuma pesa halafu wakapigwa Equation xsasa vijana wanalalamika pesa ikishatumwa tu namba haipatikani tena, meseji hazijibiwi.... ndo tukafikia uamuzi huo
Ahahahahaha weeeh kweli hiyiSina la kuzungumza, maana iam single toka utotoni🤗🤗
Kwa hiyo mnatutenga sie wenye wake, uliambiwa ndio mwisho wetu wa kula vitu vizuri eeenh?😁😁
Mtaalamu hapa🤗🤗😂Ahahahahaha weeeh kweli hiyi
SI Una amkaga umesimama🤔🤔😂Mm sitabiriki inategemea sikuhiyo nimeamkaje😀
Nijibu nn jamaniHaya nijibu
Kusimama Tena 😀🏃SI Una amkaga umesimama🤔🤔😂
Ili niuze makaburi ya watu ehh😂😂 mshamba_hachekwi 😂🤣bangi inaleta peace of mind.... try it
Jinga kabisa🤣😂, kusimama kwa miguu bhana, we umehisi kusimama gani🤔🤣😂😂Kusimama Tena 😀🏃
Niogope nn kwani hii Dunia ni yangu😀yaani huogopi kupangwa uwe 1/10
😀😀Jinga kabisa🤣😂, kusimama kwa miguu bhana, we umehisi kusimama gani🤔🤣😂😂
Subiri wajuba wakushike, wata kuonyesha🤣😂😂mtungo ndo nini hiyo....