Mwanamke mzuri ni yupi?

Mwanamke mzuri Ni Mama yako mzazi
Sometimes makosa ya wazazi akiwemo mama waliofanya huko nyuma ,yanaweza kuwagharimu pakubwa watoto... Nimekuwa mkubwa najionea mwenyewe with my naked eyes [emoji58]
 
Kati ya hizo sample mbili hakuna hata mmoja. Hao ni wafanyabiashara wawili.
Vitabu vitukufu vinasema, mwanamke amchaye BWANA ndiye atakayesifiwa. Katika kizazi hiki cha zinaa tulichopo, tafuta mwanamke mcha Mungu.
 
Upeo wako umeishia kwenye kupima uzuri wa mwanamke kwenye hayo mambo mawili tu[emoji3][emoji3]kweli hiki kizazi ni noma!
 

Beauty is in the eye of the beholder.
 
Mwanamke mzuri ni yule mwenye tako na akili😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…