Mwanamke mzuri

Mwanamke mzuri

Mwanaume hajisifii sura......hao mara nyingi hutokea kuwa sio rizki.......mwanaume sifa yake ipo kwa wallet na bed........
Mpashe Shosti, vile vile mwanaume hasifiwi kula bali kutia mzigo!
 
Aaaahahaha kweli nyie ni washauri wazuri ninge kuwa waziri ninge waweka mahakimu
 
In reality hakuna mtu yuko tayari kusema yeye mbaya hasa mwanaume
 
Na sababu ya mimi kuto muona wakumpenda ni kwasababu ninao waona wengi wao wako ki biashara sio kimapenzi
Bamukunda
 
Last edited by a moderator:
Na sababu ya mimi kuto muona wakumpenda ni kwasababu ninao waona wengi wao wako ki biashara sio kimapenzi
Bamukunda
Nahisi unajua kuwa hakuna uhusiano usiokuwa na faida kwa pande mbili. Nyie mnaweza kutupenda kwa ajili ya natural resources zetu (kugegenda), ila sisi kwa kawaida hupenda aidha kwa kujaliwa au kupunguziwa mikanganyiko iwe ni fedha, kampani, uhifadhi n.k. Siamini kuna mwanamke anaweza kumpenda mwanaume kwa ajili ya kugegedwa! Kugegendana ni matokeo ndio maana mwanamke anaweza kubakwa ila mwanamke hawezi kubaka.
 
Sijamaanisha kwamba no cash nime maanisha mimi sio fataki hata kama ninazo siwezi kutumia kwa njia hiyo lakini kwa upande wa matumizi sio mbaya tuna saidiana
 
kuhesabu hela sio kwamba una hela! mishahara ya mabank teller si inafahamika TGS B.
Mwanaume hasifiwi sura, ndo maana Remmy Ongala alioa na Wassira na sura yake ana mke!
mwanaume anasifika kumfikisha mwanamke kileleni na kumkojoza vizuri! hela nayo iwepo! NIMEMALIZA.
 
Back
Top Bottom