Miss Natafutwa
Senior Member
- Dec 18, 2024
- 190
- 593
karibu...Habari zenu humu jukwaa hili la utambulisho.
Nilikuwa na uwezo wa kuposti jukwaa lolote ila nikaona si vyema na si jambo la busara kupost bila kupitia huku.
Naomba mnikaribishe na mnionyeshe pacha wangu Miss Natafuta
Ndio pacha wake hivi 🤗Wewe ni pacha wa Miss Natafuta?
Miss Watafutwa ulipotelea wapi?Ila karibu tena.Ila tashititi zako ziache hukoo ulikopotelea.Habari zenu humu jukwaa hili la utambulisho.
Nilikuwa na uwezo wa kuposti jukwaa lolote ila nikaona si vyema na si jambo la busara kupost bila kupitia huku.
Naomba mnikaribishe na mnionyeshe pacha wangu Miss Natafuta
Sawa dadaHabari zenu humu jukwaa hili la utambulisho.
Nilikuwa na uwezo wa kuposti jukwaa lolote ila nikaona si vyema na si jambo la busara kupost bila kupitia huku.
Naomba mnikaribishe na mnionyeshe pacha wangu Miss Natafuta
Hapana, niko single.Umeolewa?