Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Imekaa vizuri.. Ila jina la Sekela ndio limenibamba zaidi..limenikumbusha mbali sana
Wanakuwaga visu hao...laini laini na rangi zao kama kuku sekela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekaa vizuri.. Ila jina la Sekela ndio limenibamba zaidi..limenikumbusha mbali sana
Ila wati wana makasiriko kwa mambo madogo madogo, wakati mwingine mnajibebesha mizigo ambayo sio size yenu.Huko kwao Zanzibar anaweza kuwa Sheha! Amiri! Sultan!
Kumpa u-chifu (huyo mwanamke) wa jamii ambazo ni Patrinia toka dunia inaumbwa ni kuzidhihaki hizo jamii
Sekela wangu wallah Mtoto wa Tabora.. Memories die hard!Pole kwa kumbukumbu
Kama ulikuwepo[emoji23] kweli legends are professionalsWanakuwaga visu hao...laini laini na rangi zao kama kuku sekela
HISTORIA: MFAHAMU MWAMI THERESA NTARE VI, CHIFU WA KWANZA MWANAMKE > Alikuwa Kiongozi wa Jamii ya Heru huko Kasulu na alishika wadhifa wa Mkuu wa Machifu Tanganyika kutoka kwa Chifu Petro Itosi Marealle 1958 Kufahamu zaidi, soma - https://jamii.app/TheresaChifuMwanamke… #JFHistoriaHuko kwao Zanzibar anaweza kuwa Sheha! Amiri! Sultan!
Kumpa u-chifu (huyo mwanamke) wa jamii ambazo ni Patrinia toka dunia inaumbwa ni kuzidhihaki hizo jamii
Asee kwangu Mimi sio kitu kidogo, Askofu ana mambo yake mengine ambayo siyapendagi lakini hili la Uchifu ni jambo ambalo hata Mimi lilikuwa linanitesa sana, Amefafanua vizuri.Huyu askofu kama amehangaika hivi kutuelewesha kitu kidogo kama hiki itakuwaje atakapotuelewesha njia ya kwenda mbinguni. Lakini Tanzania ina makabila mengi sio kwamba wote ni wanyakyusa na pia mengine hata machifu wao huwa watoto
Naunga mkono hoja, Chief Hangaya ni Chifu wa ukweli na chifu wa machifu, hata mwanamke anaweza kuwa Chifu. Chifu ni jina tuu kama ilivyo Mfalme na Malkia, Sultani na Sultana, Rais na Raisa, Amiri Jeshi na Amirati. Tumeathiriwa sana na mfumo dume, hata neno Mwenyekiti, lilimaanisha Chairman, ni kwa ajili ya mwanaume, wakataka mwanamke iwe Chairwoman, ikaamuliwa iwe Chairperson, hivyo japo ni kweli jina la Chifu ni la kiume kama ilivyo kwa mfalme, akiwa mwanamke ni malkia, sasa umefika wakati, kama mfalme ni mwanamke ni mfalme, kama ilivyo kwa Amiri Jeshi ni mwanaume, mwanamke ni Amirati na kama ilivyo kwa Alhaj ni Mwanaume, mwanamke ni Hajjat, sasa Samia ni Rais, sio Raisa, Samia ni Amiri Jeshi Mkuu, sio Amirati, na sasa Samia ni Chifu Hangai, mkuu wa Machifu, na soon huko Zanzibar atatawazwa kuwa Sultan mkuu wa Masultani na sio sultana!.MWANAMKE AWEZA KUWA CHIFU?
Taarifa kuwa Rais Samia Suluhu amepewa hadhi ya Chifu kule Mwanza zimepelekea baadhi ya watu kuhoji kama kunaweza kuwa na Chifu mwanamke.
Masahihisho mkuu siyona sasa Samia ni Chifu Hangai,
Akina Sekela ni wazuri wa sura na umbo.Imekaa vizuri.. Ila jina la Sekela ndio limenibamba zaidi..limenikumbusha mbali sana
Na wewe hangaika kwani umekatazwaHuyu askofu kama amehangaika hivi kutuelewesha kitu kidogo kama hiki itakuwaje atakapotuelewesha njia ya kwenda mbinguni. Lakini Tanzania ina makabila mengi sio kwamba wote ni wanyakyusa na pia mengine hata machifu wao huwa watoto
Nadhani point ya Askofu iko hapo, kuwa kwavile ni mwanamke labda kuna jina lingine kama ambavyo wazungu wana malkia.Sioni ubaya Kuwa na Chifu Samia. Hata wazungu ambao kiasili wana mfumo dume zaidi yetu, wanakubali kuwa na malkia.
Paskali nenda kawaambie leo hivi hao wazee wako wakisukuma waliomwita Samia chief uone kama hawajakukimbiza na mikuki.Naunga mkono hoja, Chief Hangaya ni Chifu wa ukweli na chifu wa machifu, hata mwanamke anaweza kuwa Chifu. Chifu ni jina tuu kama ilivyo Mfalme na Malkia, Sultani na Sultana, Rais na Raisa, Amiri Jeshi na Amirati. Tumeathiriwa sana na mfumo dume, hata neno Mwenyekiti, lilimaanisha Chairman, ni kwa ajili ya mwanaume, wakataka mwanamke iwe Chairwoman, ikaamuliwa iwe Chairperson, hivyo japo ni kweli jina la Chifu ni la kiume kama ilivyo kwa mfalme, akiwa mwanamke ni malkia, sasa umefika wakati, kama mfalme ni mwanamke ni mfalme, kama ilivyo kwa Amiri Jeshi ni mwanaume, mwanamke ni Amirati na kama ilivyo kwa Alhaj ni Mwanaume, mwanamke ni Hajjat, sasa Samia ni Rais, sio Raisa, Samia ni Amiri Jeshi Mkuu, sio Amirati, na sasa Samia ni Chifu Hangai, mkuu wa Machifu, na soon huko Zanzibar atatawazwa kuwa Sultan mkuu wa Masultani na sio sultana!.
Tulikuwa na Queen of Sheba, Malkia Cleopatra, Nzinga Mbande, na wengine wengi since time immemorial!
Tuachane na mfumo dume, everything a man can do, a woman can do!.
P.