Mwanamke ndiyo kiumbe hatari zaidi kuwahi kutokea duniani!

Mwanamke ndiyo kiumbe hatari zaidi kuwahi kutokea duniani!

Watu wanawataja simba, chui, nyoka na kadhalika eti ndiyo viumbe hatari duniani! Aiseeh, hao viumbe wote ni chamtoto kwa mwanamke.

Mwanamke mfanyie kila unachojua, huna utalia, unacho utalia. Nawaonea huruma sana vijana mnaotarajia kuoa.
Pole sana , tupe mkasa mzima mkuu

Eeh amekufanyaje huyo binti sayuni…?
 
Watu wanawataja simba, chui, nyoka na kadhalika eti ndiyo viumbe hatari duniani! Aiseeh, hao viumbe wote ni chamtoto kwa mwanamke.

Mwanamke mfanyie kila unachojua, huna utalia, unacho utalia. Nawaonea huruma sana vijana mnaotarajia kuoa.
Yamekukuta mkuu
Polee..
Ndo uanaume huo
 
Mwanamke kapewa kipaji asili cha kuweza kuficha mambo bila mwanaume kujua,

NI hero nifanyiwe ukatili wa wazi na mwanaume mwenzangu kuliko kusalitiwa nyuna ya pazia na mwanamke
 
Hata sasa bado Eva pamoja na ukaidi wake anaendeleza yale aliyoambiwa na nyoka, kwa kula lile tunda, Kuwa atakuwa kama Mungu. Ni kiburi kile kile
Ameumbwa hivyo.
Na itaendelea kuwa hivyo
 
Tupo hapa ambao tumeshashindwana na hao viumbe wa ajabu
 
Mkuu wewe ndio umeanza kujua au ndio umeanza kujifunza au ndio umeanza kupata ufahamu sasa hivi?

Kiufupi tu bila kujaza maelezo mengi kwenye aya baada ya aya ni kwamba hilo linafahamika kuanzia kwenye mafundisho ya dini

Unaambiwa Samson alikua na Maguvu saaana ila Delilah alifanikisha mtego wake wa kukamatwa na wafiristi

Pia unaambiwa Herode hakutaka kumkata kichwa Yohana Mbatizaji ila mwanamke Salome na mwanae wa kike Herodia walimshawishi Mfalme Herode amkate kichwa Yohana Mbatizaji na kichwa chake kiwekwe kwenye Sinia kisha Herodia apewe km zawadi ya kucheza vizuri mbele ya Mfalme.. Mfalme akatoa amri na Yohana akakatwa kichwa kisha Herodia akapewa kichwa cha Yohana kikiwa kwenye Sinia

Hayo ni machache tu ukiondoa simulizi zingine za Bustan ya Eden na nyinginezo mwanamke anachukua nafasi ya kiumbe hatari zaidi kuliko unavyofikiria ndio maana tunahimizwa wanaume kuishi nao kwa akili km akikukuta hauna Akili umekwisha

Na pia bila kusahau mwanamke mwenye miaka 12 ana Akili sawa na mwanaume mwenye miaka 21, ushaelewa?

Ahsanteni kwa kunisikiliza...
 
Back
Top Bottom