Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Masanja kwa kumuangalia tu anaonekana sio mtulivu kwenye ndoa yake ogopa sana Mwanaume anayeonesha jinsi anavyokupenda mbele ya jamiii.Cc: Masanja mkandamizaji, mmemuona msukuma wangu? Kumbe wahuni wanamchora tu🤣🤣