Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Pole sana , tupe mkasa mzima mkuuWatu wanawataja simba, chui, nyoka na kadhalika eti ndiyo viumbe hatari duniani! Aiseeh, hao viumbe wote ni chamtoto kwa mwanamke.
Mwanamke mfanyie kila unachojua, huna utalia, unacho utalia. Nawaonea huruma sana vijana mnaotarajia kuoa.
Unamtisha zaidi na akiona ID ni ya “ke”Umechelewa kujua wenzio wanafahamu siku nyingii
Cc: Masanja mkandamizaji, mmemuona msukuma wangu? Kumbe wahuni wanamchora tu🤣🤣Pole sana , tupe mkasa mzima mkuu
Eeh amekufanyaje huyo binti sayuni…?
Na bado anampenda mke wake. Wa kwenu waueniCc: Masanja mkandamizaji, mmemuona msukuma wangu? Kumbe wahuni wanamchora tu🤣🤣
Tunafahamu wanawake hawafahamu wanahitaji nini so nikuwavumilia tuCc: Masanja mkandamizaji, mmemuona msukuma wangu? Kumbe wahuni wanamchora tu🤣🤣
Yamekukuta mkuuWatu wanawataja simba, chui, nyoka na kadhalika eti ndiyo viumbe hatari duniani! Aiseeh, hao viumbe wote ni chamtoto kwa mwanamke.
Mwanamke mfanyie kila unachojua, huna utalia, unacho utalia. Nawaonea huruma sana vijana mnaotarajia kuoa.
Mapenzi tena? Hakuna kitu kinauna kama uje kujua kuwa rafiki yako uliyekuwa ukimuamini ndio anakumegea mkeo.Na bado anampenda mke wake. Wa kwenu waueni
Ndio inaumaga.Mapenzi tena? Hakuna kitu kinauna kama uje kujua kuwa rafiki yako uliyekuwa ukimuamini ndio anakumegea mkeo.
🤣🤣🤣🤣🤣Poleni sana ndugu zangu.
Inaumaga...
Mtazoea kama sie tulivyojizoelea. Mambo ni bam bam.
Adam hakuwa na akiliEva ndiye aliyepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na yule nyoka, Adam aliingizwa kwenye mtego kupitia Eva.
Adam hakuwa na akili
Ameumbwa hivyo.Hata sasa bado Eva pamoja na ukaidi wake anaendeleza yale aliyoambiwa na nyoka, kwa kula lile tunda, Kuwa atakuwa kama Mungu. Ni kiburi kile kile
Na tuliongea mengi kwakweliEva ndiye aliyepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na yule nyoka, Adam aliingizwa kwenye mtego kupitia Eva.